Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daaah ilishawahi kunitokea nikiwa kirima bar Singida.niliagiza konyagi ndogo hile kupiga funda tu nikahisi kulewa,nikalipa bill fasta nikakimbilia gesti.nilikuja kushtuka saa tisa usiku,kichwa kinauma balaa halafu hata mlango wa chumba sijaufunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Wakuu kuna mwanamke kaniganda sana hapa....
Sikutaka toka leo..nlirudi na package ya kutosha jana.

Amemtuma mtu aje niita aisee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Wakuu kuna mwanamke kaniganda sana hapa....
Sikutaka toka leo..nlirudi na package ya kutosha jana.

Amemtuma mtu aje niita aisee...
Wahi ukalipe kodi [emoji1][emoji1]
 
Yaani hapa ninapolipa kodi kuna mmama analipa kodi hapa alafu anamtuma muhudumu kwangu anamwambia mwambie yule kijana mamaake anataka bia sasa najiuliza huyu mama wa ghafla nimempata wapi mm jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 889340
Mama mwenyewe ndio anayeonekana mgongo ?
 
Mkuu huyu mama kanikomalia kweli kanifata hapa ananambia aliwahi niona coca imebidi nikubali tu ngoja nione mwisho wa hili picha asjakunywa bia zangu 3[emoji4][emoji4]
Thaminisha mzigo Mkuu...
Kama unalipa tembea nae.

Mimi kuna mtu aliniita asubuh..nikamfuata nikamwbie twende myumbani akagoma...nikamuacha.
Alitaka anile bure.
 
Nimekupendaaaa....

Leo nimeshtuka asubuh sijui nlipoweka cm..

Nimezungunga balaa only to find it under the pillow.

Konyagi nomaa...
Hahahahaaa. Unaweza ukahisi umeibiwa kumbe umesahau ulipoweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…