Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii kitu ilinifanya nikose mke wa kisabato,,,,alinambia chagua kimoja kati ya '' Mimi na mi pombe yako" nikachagua mi pombe yangu
Hongera Lea maamuzi magumu na mazuri uliyochukua!!
 
Kwa wk end ndo yanahusika haya ila ni makali yani ukigonga mawili tu unayasikia Kwa head
ha ha ha ha mi hayo makali yalishanidhuru natumia lite tu,hapa nipo na chupa zangu na nyama choma naona wkend iko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…