cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,763
- 1,432
Hongera Lea maamuzi magumu na mazuri uliyochukua!!Hii kitu ilinifanya nikose mke wa kisabato,,,,alinambia chagua kimoja kati ya '' Mimi na mi pombe yako" nikachagua mi pombe yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Lea maamuzi magumu na mazuri uliyochukua!!Hii kitu ilinifanya nikose mke wa kisabato,,,,alinambia chagua kimoja kati ya '' Mimi na mi pombe yako" nikachagua mi pombe yangu
Itabidi kamati iandae zawadi mwisho wa mwaka kwa jamaaHahahaha, utaweza? Maana mrangi ni bingwa
Hahahaha, hili la muhimu sana,vipi Rafiki mambo yanaenda?Itabidi kamati iandae zawadi mwisho wa mwaka kwa jamaa
Hahahaha, hili la muhimu sana,vipi Rafiki mambo yanaenda?
Hahahaha,Rafiki safi Sana km maji ya mende yanashuka bila tabu,ila usisahau umeniahidi kitu ujue kuwa utanionesha,kikiwa mguuniMambo poa sana jmosi inatiririka vyema maji ya mende yanashuka sana aise
Hahahahah rafiki hujasahauHahahaha,Rafiki safi Sana km maji ya mende yanashuka bila tabu,ila usisahau umeniahidi kitu ujue kuwa utanionesha,kikiwa mguuni
Hahahaha, Rafiki umeniahidi lknHahahahah rafiki hujasahau
Hofu ondo rafiki kikuku lazima ukione[emoji28]Hahahaha, Rafiki umeniahidi lkn
Mkuu nenda kwenye ma-lite hayo makaliLipa kodi bila shuruti tulijenge taifa letuView attachment 897021
Mkuu nenda kwenye ma-lite hayo makali
ha ha ha ha mi hayo makali yalishanidhuru natumia lite tu,hapa nipo na chupa zangu na nyama choma naona wkend iko poa.Kwa wk end ndo yanahusika haya ila ni makali yani ukigonga mawili tu unayasikia Kwa head
ha ha ha ha mi hayo makali yalishanidhuru natumia lite tu,hapa nipo na chupa zangu na nyama choma naona wkend iko poa.
PowaVizuri endelea kulipa kodi mkuu
Safari moja uanzisha nyingineNo offenseView attachment 897041
Ha ha ha ha tembea tembea utoe stress mkuuLeo natia huruma sanaa wakuu hivi vyuma hivii[emoji21]
Ha ha ha ha tembea tembea utoe stress mkuu