Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Moshi moja mjumbe
Vp chimbo la malindi bado lipo!nishapiga tungi hpo balaa mpk kuna mama mmja akawa anataka kutulishia alikubali flag
Ah bdaye kna mdau hpo akatuambia mama hyo ndy mke wa owner Dah ilibidi tukate mguu hpo maana mama hyo alikuwa anataka kjisahau....angetuletea balaa tu[emoji23] [emoji23]

Ova
 
Bado wapo ila viwanja vingi siku hizi huku, pale mara moja moja sana.
 
😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…