Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mdau mlipakodiNimeamka wakuu gudi moningi...
Jana walimwengu wakaamua kunifungia nnje na mimi funguo kwan ata nlikuwa naiona... c nkaruka geti aisee ukuta wenyew una vichuma chuma dah alcohol imeisha ganzi na yenyew imeisha nimetobolewa tobolewa...
[emoji53]
Asante mwenyekiti hzi pombe ni tamu ila majanga yake ni kama hayapo unayakuta tu asbuhu[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mdau mlipakodi
Hshahaaaaaa!! Mama/baba MWENYE nyumba, hahahaaaaa!! Alikkomesha!! PolesanaNimeamka wakuu gudi moningi...
Jana walimwengu wakaamua kunifungia nnje na mimi funguo kwan ata nlikuwa naiona... c nkaruka geti aisee ukuta wenyew una vichuma chuma dah alcohol imeisha ganzi na yenyew imeisha nimetobolewa tobolewa...
[emoji53]
Asante mkuu nimekuwa kama mshkaki vile ila ni small bruises adi baadae ntakuwa sawa ila kuzimua muhim ganzi iendeleeHshahaaaaaa!! Mama/baba MWENYE nyumba, hahahaaaaa!! Alikkomesha!! Polesana
Yeye akisikia tunamshauri atafute pesa atatuelewa?.Acha kuzingua......mambo ya pombe tuwachie
Hku hatutaki mambo ya ushauri
Ova
Ah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeye akisikia tunamshauri atafute pesa atatuelewa?.
Sinimesikia kuna gilisi au jiwe alikua anawatania (gilisi na si vinginevyo).The irons are very tight [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama sana ndio nimefika kijiwe cha jirani ila tane siko sasa dah!.Nimewahamu walipa kodi wote... Nawasalimia sana
Mi nimefika hakuna mwanga nataka nimrubuni nikae ndani. Namdanganya na kischana nipate pakukaa na kinmvua hiki??Ah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm nko kwa mangi tna hapa kna vinywaji vyote
Ova
View attachment 910705
Nilishakaa hapa.Ah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm nko kwa mangi tna hapa kna vinywaji vyote
Ova
View attachment 910705
Bar wateja wataondka Bila kulipa billHali Leo haina raha kabisa, tanesco hawa mungu anawaona.View attachment 910809
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hali Leo haina raha kabisa, tanesco hawa mungu anawaona.View attachment 910809
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyekiti huyu sio ww kweli na ile kitu yako ya kichina[emoji23][emoji23]@ mshana jrView attachment 910820