[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]katibu hii ya kujua geo location yangu ina nipa ukakasi kidogo
Yeah we work hard kwann tusijiachiework hard party even harder
Navuta muda saa moja kna mzigo natakiwa kwenda pokea ubungo unajua nafanya biashara ya iriki so nakusanya tanga mlima ya usambara....nkipokea nafsulisha hko hko natuma mombasa leo ndomana Siwezi kulala sahv.....katibu hii ya kujua geo location yangu ina nipa ukakasi kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasogea ubungo bus terminal[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mzigo napokea hpa naufaulisha hpa hpa to mombasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi katibu unaenda
Bia ya asubuhi Tamu Sema zinakuchkua mapema usipo kuwa makiniCha asubuhi View attachment 919591
Sijalala mwenyekiti kitanda sikijui nko kma bundi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pouwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Navuta muda saa moja kna mzigo natakiwa kwenda pokea ubungo unajua nafanya biashara ya iriki so nakusanya tanga mlima ya usambara....nkipokea nafsulisha hko hko natuma mombasa leo ndomana Siwezi kulala sahv.....
Ova
Nmerdi nshamaliza shuguli si unajuaa mm robot aka terminator najidungaaa [emoji23] [emoji23]Kama kuna faranga ya kulipia kodi hakuna mbaya
Nakwambia I am not a human [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bank za bongo za huwa zisielewi nlijuaaa watafungua saa mbili na nusu nakuta eti mpk saa Tatu na nusu washaaribu program yangu ahhhhKama kuna faranga ya kulipia kodi hakuna mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kero ya kulindiwa pesa zako mwenyeweBank za bongo za huwa zisielewi nlijuaaa watafungua saa mbili na nusu nakuta eti mpk saa Tatu na nusu washaaribu program yangu ahhhh
Sisi tunalewa tunadamka mapema tunafanya mambo yetu kama Kawa
Benki zifunguliweee saa moja ikiwezekana
OvaView attachment 919666
MusuliNmerdi nshamaliza shuguli si unajuaa mm robot aka terminator najidungaaa [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 919619