Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mbm umeua mbu kwa bunduki,hiii adhabu kubwa sana aseeKuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.
Kyaaaaaa una demu? Makr mziki wake nomaBaada ya kaziView attachment 865397
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo utapewa laaana zote za barmaid kama wote hivi ngambafuKuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.
Unanitia kiu ,ngoja nitoke hapa nikapige ,N' Tay zangu kadhaa au Skol ,pale stade Kamalondo PubMida ya wanga, sema kimekosekana nini hapo? Niongeze, km ugonjwa wa mshana umekaa pembeni hapa. Sema kingineView attachment 865411
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mida ya wanga, sema kimekosekana nini hapo? Niongeze, km ugonjwa wa mshana umekaa pembeni hapa. Sema kingineView attachment 865411
Wanatuona sisi mafala , kumbe watu wanawachora tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo utapewa laaana zote za barmaid kama wote hivi ngambafu
[emoji16][emoji16][emoji16] Jana bwana nimeingia bar moja hiv nkamuona manzi mmoja nkamuelewa sana, nkakaa nae pemben piga moja mbili na tukakubaliana kuondoka, imefika mida kama ya saa nne hivi nmcheki dem simuoni aaah si nkaenda toilet, dah namkuta demu kainamishwa na mshikaji nkajifanya sijaona nkarudi kitini na mawazo, bas dem akarudi eti oooh nsubir kidogo kuna vitu namalizia nkamwambia poa fanya faster, ghafla kimya mpaka saa tano hivi, kutoka nje kwenye uchochoro wa lodge nakuta dem anapigwa mtungo. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Dah nguvu ziliniisha na nlishatumia mahela yangu pale. Nkaona vipi nkalale tu wajanja wameniliaWanatuona sisi mafala , kumbe watu wanawachora tu
Huyu atakuwa nungu nungu!! Hiyo miba ka dudu washa!!Ulevi mwingine huuView attachment 865248View attachment 865250
Duh wapi hy[emoji16][emoji16][emoji16] Jana bwana nimeingia bar moja hiv nkamuona manzi mmoja nkamuelewa sana, nkakaa nae pemben piga moja mbili na tukakubaliana kuondoka, imefika mida kama ya saa nne hivi nmcheki dem simuoni aaah si nkaenda toilet, dah namkuta demu kainamishwa na mshikaji nkajifanya sijaona nkarudi kitini na mawazo, bas dem akarudi eti oooh nsubir kidogo kuna vitu namalizia nkamwambia poa fanya faster, ghafla kimya mpaka saa tano hivi, kutoka nje kwenye uchochoro wa lodge nakuta dem anapigwa mtungo. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Dah nguvu ziliniisha na nlishatumia mahela yangu pale. Nkaona vipi nkalale tu wajanja wamenilia
Analika lkn,mkuuHuyu atakuwa nungu nungu!! Hiyo miba ka dudu washa!!
Mkoani uku kwa warangi na wagogo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Duh wapi hy
Pole mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Mkoani uku kwa warangi na wagogo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Za Huku jeroHivi mumu una picha ya yule mjamaa aliyelikodolea macho jibapa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kanywa chibuku huyuZa Huku jeroView attachment 865442