Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.
Mbm umeua mbu kwa bunduki,hiii adhabu kubwa sana asee
 
Mida ya wanga, sema kimekosekana nini hapo? Niongeze, km ugonjwa wa mshana umekaa pembeni hapa. Sema kingine
IMG_20180913_191018.jpg
 
Kuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo utapewa laaana zote za barmaid kama wote hivi ngambafu
 
Wanatuona sisi mafala , kumbe watu wanawachora tu
[emoji16][emoji16][emoji16] Jana bwana nimeingia bar moja hiv nkamuona manzi mmoja nkamuelewa sana, nkakaa nae pemben piga moja mbili na tukakubaliana kuondoka, imefika mida kama ya saa nne hivi nmcheki dem simuoni aaah si nkaenda toilet, dah namkuta demu kainamishwa na mshikaji nkajifanya sijaona nkarudi kitini na mawazo, bas dem akarudi eti oooh nsubir kidogo kuna vitu namalizia nkamwambia poa fanya faster, ghafla kimya mpaka saa tano hivi, kutoka nje kwenye uchochoro wa lodge nakuta dem anapigwa mtungo. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Dah nguvu ziliniisha na nlishatumia mahela yangu pale. Nkaona vipi nkalale tu wajanja wamenilia
 
Duh wapi hy
 
Juzi kati nilikuwa bwax nikashangaa niko nje ya pub mabaunsa wananipiga biti nikalale..... yan cjui hata nilifanya nini.... yan unakuwa mbishi halafu hujui hata unachobishia ni nini.... pombe bhana.

Kwa kweli wacha waruhusu tuanze kunywa tangu asubuhi maana kwakweli sisi ndiyo tunachangia pato la taifa......
 
Back
Top Bottom