Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mbm umeua mbu kwa bunduki,hiii adhabu kubwa sana aseeKuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.