Kumbe mchaga!!!! hapo hata udumbukizwe kwa pipa haulewi
Mie nishaanza Mkuu ,nahimiza wenzangu piaInamaana haujaanza?.
Nchi ikikosa maendeleo utamlaumu nani?.
Utaanza kusema wamenifanyia hujuma wameficha pesa na nk. Wahi sehemu husika na picha utume humu kiongozi unaweza ukapata hata teuzi.
Naonaga walevi wengi wanalala guest hata majumbani hawarudiSyo wote wengine sisi tunataka kulewa tu
Walevi wanaishia kupa Pasa tu finishing
Mbovu [emoji23] [emoji23]
Ova
Syo woteNaonaga walevi wengi wanalala guest hata majumbani hawarudi
Hapa kuna tatizo si bure mnataka ulevi asubuhi!?Inamaana haujaanza?.
Nchi ikikosa maendeleo utamlaumu nani?.
Utaanza kusema wamenifanyia hujuma wameficha pesa na nk. Wahi sehemu husika na picha utume humu kiongozi unaweza ukapata hata teuzi.
Hahaha kale kadude nomaSigusi tena kale kadude[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Zaidi ya bia na konyagi, sinywi kitu kingine chochoteSigusi tena kale kadude[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ungeenda kwenye Uzi ule wa wanywa soda na juice huku hawakuelewi..........HUWEZI KUWA MLEVI UKAWA MWANAUME KAMILI.
UWANAUME KAMILI NI PAMOJA NA KUJIZUIA NA MAMBO YENYE KUDHURU AFYA YA AKILI,AFYA YA MOYO,AFYA YA MWILI KWA UJUMLA NA MFANO WAKE.
NAYASEMA HAYA KWA SABABU HAPA NI SEHEMU MUAFAKA. NA KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.
WALE NAJUA HILI MNALIKUBALI JAPO SI KWA DHAHIRIA ILA KWA MOYO AU KWA SIRI LIMETAWALA SANA.
NASEMA HIVI,KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.
We sio mlevi ila ni mywa pombeZaidi ya bia na konyagi, sinywi kitu kingine chochote
Inawezekana MkuuWe sio mlevi ila ni mywa pombe
Ulikapiga pekeake au ulichanganyaKidogo kanizingue aisee
Endelea kuropoka tukose michango yako.Ngoja nikae kimya
Afu kapo very soft kanamezeka ndo nacho kapendeaDry...!
Si kweli hata kidogo.Walevi na umalaya ni maji na samaki
Unanidanganya tupiamo tupicha mi nakaribia kufurahi.Mie nishaanza Mkuu ,nahimiza wenzangu pia