Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Inamaana haujaanza?.
Nchi ikikosa maendeleo utamlaumu nani?.
Utaanza kusema wamenifanyia hujuma wameficha pesa na nk. Wahi sehemu husika na picha utume humu kiongozi unaweza ukapata hata teuzi.
Mie nishaanza Mkuu ,nahimiza wenzangu pia
 
Inamaana haujaanza?.
Nchi ikikosa maendeleo utamlaumu nani?.
Utaanza kusema wamenifanyia hujuma wameficha pesa na nk. Wahi sehemu husika na picha utume humu kiongozi unaweza ukapata hata teuzi.
Hapa kuna tatizo si bure mnataka ulevi asubuhi!?
 
HUWEZI KUWA MLEVI UKAWA MWANAUME KAMILI.

UWANAUME KAMILI NI PAMOJA NA KUJIZUIA NA MAMBO YENYE KUDHURU AFYA YA AKILI,AFYA YA MOYO,AFYA YA MWILI KWA UJUMLA NA MFANO WAKE.

NAYASEMA HAYA KWA SABABU HAPA NI SEHEMU MUAFAKA. NA KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.

WALE NAJUA HILI MNALIKUBALI JAPO SI KWA DHAHIRIA ILA KWA MOYO AU KWA SIRI LIMETAWALA SANA.

NASEMA HIVI,KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.
Ungeenda kwenye Uzi ule wa wanywa soda na juice huku hawakuelewi..........
 
Zaidi ya bia na konyagi, sinywi kitu kingine chochote
Siku Ukirudi bongo niambie kuna hii kitu hii
IMG_20180913_182239_3.jpg
 
Back
Top Bottom