Diksela
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 212
- 208
Taamu saana, ukiianza hutoiacha nakuambiaHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taamu saana, ukiianza hutoiacha nakuambiaHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Hili zigo si mchezoWazinzi wote motoniView attachment 864869
Mie mlevi bana,mbinguni napataka na pepo naipenda [emoji23] [emoji23]Huendi mbinguni 😀 😀 😀
Tumuilize sheikh kipozeoNa mizigo je? [emoji848][emoji848][emoji848]
Utamu wa monde ni kutandika tarumbeta arifu,glass mizinguo sana.Hivyo ni vilabu vya Iringa hapa nilipo vilabu ni classy na clean mno. Mademu ni wakutosha na wote ni wa kienyeji... Ndio wanaonileta hapa kwa uumini wangu wa bidhaa za kienyeji. Situmii glasi natandika tarumbeta mwanzo mwenga.
Kabisa, siwezi kunywa ugimbi na GlassUtamu wa monde ni kutandika tarumbeta arifu,glass mizinguo sana.
Naungana na wewe kutandika tarumbeta.
Kwambaa mnasuuza figo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipooo shuu.. Miss you tooHivi upooo miss u
Jina lako nilizani papuchi, hahahaha.View attachment 863951
Home made flani hivi last night
DahNiwatakie mchana mwema View attachment 864948