Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Walevi wotee peponii[emoji33]
Wazinzi wote motoni
IMG-20180913-WA0008.jpg
 
Hivyo ni vilabu vya Iringa hapa nilipo vilabu ni classy na clean mno. Mademu ni wakutosha na wote ni wa kienyeji... Ndio wanaonileta hapa kwa uumini wangu wa bidhaa za kienyeji. Situmii glasi natandika tarumbeta mwanzo mwenga.
Utamu wa monde ni kutandika tarumbeta arifu,glass mizinguo sana.
Naungana na wewe kutandika tarumbeta.
 
Back
Top Bottom