Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Bia za "kike"
Leo nimeanza na hii kwanza kuondoa uchovu
IMG_20180913_201110.jpg
 
Juzi kati nilikuwa bwax nikashangaa niko nje ya pub mabaunsa wananipiga biti nikalale..... yan cjui hata nilifanya nini.... yan unakuwa mbishi halafu hujui hata unachobishia ni nini.... pombe bhana.

Kwa kweli wacha waruhusu tuanze kunywa tangu asubuhi maana kwakweli sisi ndiyo tunachangia pato la taifa......
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom