Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kama sio majuumu nisingeacha burudani hii.
Kinachoniuma nipo mwenyewe sitaweza hata kuchangia mada muda mfupi ujao mpaka kesho nikifika salama.
1537036078983982538046.jpg
 
Jumamosi ilopita Samaki samaki mlimani siti nililewa konyaji bapa nne nikaingia kwenye gari funga milango yote na kulala. Nikamsahau shemeji yenu Movie. Saa kumi na moja naamshwa na walinzi kucheki simu missed called 10 za Mchumba. Ilibidi arudi kwao na dala dala. Sasa nipo napiga nyeto. Konyagi imefanya nimeachwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalizo, ulabu usihusishwe na hayo mambo yenu. Wala ulabu wapo babu, bibi, shangazi na wengine. Sawa. Natoa hoja.
Wanaojiuza wanatambulika mkuu, hao uliowataja wanavaa vimini vya hatari, au kwa ujumla kuvaa nusu uchi ? nakubali hapo ni mchanganyiko wa watu
 
HUWEZI KUWA MLEVI UKAWA MWANAUME KAMILI.

UWANAUME KAMILI NI PAMOJA NA KUJIZUIA NA MAMBO YENYE KUDHURU AFYA YA AKILI,AFYA YA MOYO,AFYA YA MWILI KWA UJUMLA NA MFANO WAKE.

NAYASEMA HAYA KWA SABABU HAPA NI SEHEMU MUAFAKA. NA KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.

WALE NAJUA HILI MNALIKUBALI JAPO SI KWA DHAHIRIA ILA KWA MOYO AU KWA SIRI LIMETAWALA SANA.

NASEMA HIVI,KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.
kiongonzi nikupa tu like yangu sio kwamba nimependa ulivyosema afya ya akili na vinginevyo hapana binafsi napenda napenda muda wote niwe high kwenye kilevi chochote ila sio coke maana bila ile naweza pasua kichwa.
 
Back
Top Bottom