Cleopatra, mwanamke alipata kuwa kiongozi nchini misri ya kale, alipata pia kulewa na wakuu kadhaa wa dola ya kirumi.Uzi bora kabisa.
Nasubiri picha Cleopatra ambaye inasemekana alikuwa the most woman ever.
Huyu ni yule Wangari Maathai wetu wa hapa JF?Wangarĩ Muta Maathai, a Kenyan Environmentalist, is the first African woman to win the Nobel Peace Prize, also the first woman in East and Central Africa to become a Doctor of Philosophy from UoN.
View attachment 1795568
Nimemuelewa sana!Cleopatra, mwanamke alipata kuwa kiongozi nchini misri ya kale, alipata pia kulewa na wakuu kadhaa wa dola ya kirumi.
Hi ilitokea baada ya dola ya Rumi kutawala misri. View attachment 1796659
Mwanzilishi wa style ya Jeet Kune Do katika martial arts. It's a hybrid martial arts philosophy drawing from different combat disciplines that is often credited with paving the way for modern mixed martial arts (MMA).Bruce Lee! Ingawa amefariki muda kidogo lakini bado anatajwa Sana katika nyanja mbali mbali.
Ikiwa bado kufa kwake kuligubikwa na mengi lakini mengi yakujifunza yalikutanika kwake. View attachment 1796656
Haha, muulize hebu! 🤣Huyu ni yule Wangari Maathai wetu wa hapa JF?
Mbona kama malkia wa sheba ni chuma zaidi ya cleopatra.Cleopatra, mwanamke alipata kuwa kiongozi nchini misri ya kale, alipata pia kulewa na wakuu kadhaa wa dola ya kirumi.
Hi ilitokea baada ya dola ya Rumi kutawala misri. View attachment 1796659
Kuna siku huyu mtu alirudi kutoka kuzimu na kuja kumfanyia mtu training. Ilikuwa ni baada ya mtu aliyehitaji kufanyiwa traing, kwenda kwenye kaburi la Bruce Lee na kumuomba atoke huko kuzimu alikokuwa, aje duniani ili amfanyie trainingBruce Lee! Ingawa amefariki muda kidogo lakini bado anatajwa Sana katika nyanja mbali mbali.
Ikiwa bado kufa kwake kuligubikwa na mengi lakini mengi yakujifunza yalikutanika kwake. View attachment 1796656
Duh! 😬Kuna siku huyu mtu alirudi kutoka kuzimu na kuja kumfanyia mtu training. Ni baada ya mtu huyi kwenda kwenye kaburi lake na kumuomba aje amfanyie training
Mh picha ya yesu mpaka leo ni kitendawili ila ya Thomas ndio ifamike.. by the way namunga mkono sana mwana akutaka janja janjaHuyu aliitwa kwa jina la Thomas, Ni moja ya wafuasi wa Yesu ambae hakutaka kuamini bila ithibati ufufuko wa Yesu. View attachment 1795417
Huyu alikataa kuzikwa na jeneza ingawa alikuwa mkristo kwa madai kwamba kuchana Mbao kwaajili ya jeneza lake ni uharibifu wa mazingira kwasababu zinaenda kuozea chiniWangarĩ Muta Maathai, a Kenyan Environmentalist, is the first African woman to win the Nobel Peace Prize, also the first woman in East and Central Africa to become a Doctor of Philosophy from UoN.
View attachment 1795568
Hakuzikwa na kitu chochote kilichotengezwa kwa mbao.Huyu alikataa kuzikwa na jeneza ingawa alikuwa mkristo kwa madai kwamba kuchana Mbao kwaajili ya jeneza lake ni uharibifu wa mazingira kwasababu zinaenda kuozea chini