Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani


Huyu mzee utofauti wake na Kinjekitile Ngwale ni mdogo sana [emoji23][emoji23]
 
Narcos Mexico mkuu???
 
Malcolm X, jina la kuzaliwa Malcolm Little, jina baada ya kuslim el-Hajj Malik el-Shabazz, alizaliwa May 19, 1925 na kuuwawa February 21, 1965.

Alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu hasa haki za watu weusi nchini Marekani.

Inasemekana aliuwawa na FBI wakishirikiana na kitengo cha police jijini New York (NYPD). Hii ni kwa maelezo ya afisa wa zamani wa NYPD alieandikia barua familia ya Malcolm X akiwa mahututi kutubu dhambi ya kushiriki katika kupanga mauaji hayo.

 
Buddha (jina la kuzaliwa Siddhartha Gautama), alikuwa mwalimu, mwanafalsafa na kiongozi wa kiroho ambaye ndiye mwanzilishi wa imani/dini ya Buddhism. Alizaliwa nchini India.

Jina Buddha maana yake ni "mtu alieye funuliwa" kwa Kiingereza "the enlightened one or the awakened one".

Ijulikane kuwa Buddha alikuwa binadamu kama wengine na wala hakuwa 'mungu'.

 
During their medal ceremony in the Olympic Stadium in Mexico City on October 16, 1968, two African-American athletes, Tommie Smith and John Carlos, each raised a black-gloved fist during the playing of the US national anthem


2008
 
Haile Gebrselassie 1973 huyu jamaa ni kutoka Ethiopia
Alikuwa mkimbiaji wa mbio ndefu
Alishinda medali mbili za dhahabu za Olympic. 10,000 meters

Alishinda world championship
Berlin marathon akashinda mfululizo mara nne
Na Dubai marathon alishinda mara 3

 
John Magufuli raisi alieongoza Tanzania kwa muda wa miaka 5 na miez 5 tu lakini alifanya mazuri Mengi yenye kujenga taifa lake ni rais aliependwa na wengi sio nchini kwake tu bali hata Africa na dunia nzima, wengine ilifikia hatua mpaka kutaman akaongoze nchi zao walau ata kwa muda wa miez 6

Mzalendo wa kweli na mwenye uchungu na taifa lake alifariki 17/3/2021 lakini mpaka leo kifo chake kimezua maswali mengi yenye utata kwa watu duniani kote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😔😔😔
 
Hakika huyu mzee atakumbukwa kwa mengi haswa kwenye utumishi wa umma alio hudumu kwa kipindi chote.

Kila alipokua kwenye nafasi fulani huko aliacha alama ya mfano, mtu mwenye udhubutu na maono ya mbali asie kubali kushindwa katika kile alichoona kinawezekana.

Ni bahati mbaya kidogo katika nafasi ya urais alipata doa ! Labda kwa vile hio kazi ya urais sio ndogo na inajumuisha mambo mengi hivyo mengine yalimwangusha Kama yalivyotokea kwa wengine.
Au labda alidhani namna ya kuongoza katika nafasi fulani Kama wizara Ni sawa na kuongoza katika urais hii ikapelekea kupata matokeo hafifu.

Sio wote walioweza kuona mwenendo wake ule wa uongozi kwamba ulikua unaelekea kubaya, Bali wengi waliona yupo sawa na no Bora kuliko wengi!

Mpaka anafariki ukweli ulikua unabaki kwamba angetuacha vibaya Kama taifa kipindi ambacho angetoka madarakani, lakini inabaki kua alikua Ni rais mwenye mema yake mengi Sana lakini katika mema mengi yale kulikuako na mwambato wa ubaya, kuliko pelekea kuonekana Ni mbaya moja kwa moja kwa walio wengi.


Mungu amjalie kuupata uzima wa milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia alikuwa na wake 700 na makonkyubaini 300. Yaani mpaka alimzidi babake (Mfalme Daudi) ubaharia [emoji16][emoji16]
 
Asante sana kwa ujumbe wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…