So Amazing, proudly TanzanianErasto Mpemba mtanzania aleanzisha theory ya mpemba effect theories inayoelezea kuwa maji ya moto huganda kwa haraka zaidi kuliko maji wa baridiView attachment 1798732View attachment 1798733
Huyu jamaa tokea jana najaribu kumkumbuka ila haji kichwani. Kudos mkuu 💯Erasto Mpemba mtanzania aleanzisha theory ya mpemba effect theories inayoelezea kuwa maji ya moto huganda kwa haraka zaidi kuliko maji wa baridiView attachment 1798732View attachment 1798733
Lete picha yake na utueleze umaarufu wakeNaam!
Mie kuna mwanamama namfeel pia anaitwa cocochanel
So sad...alinyanyasika sanaAlizaliwa south africa.. Kama sijakosea baadae akapelekwa ulaya huko kutokana na shepu lake mume wake aliuwawa.. Akawa anawekwa kwenye matamasha na akawa sextool alikufa kwa gonjwa la ngono sikumbuki jina
acha tuuSo sad...alinyanyasika sana
Na miaka ya hivi karibuni ilikuja kuonekana kuwa hakuwa na hatiaGeorge Stinney 1929-1944 aliehukumiwa akiwa na miaka 14 tu kwa kosa la kuwauwa wasichana wa kizungu wawili Betty (11) na Mary Emma 7 huko South Carolina USA
Kesi ya kijana huyo mweusi iliamuliwa na kuhusishwa na mauwaji kwa dakika 10 tu na kuamua auwawe kwa kiti cha umeme
Ni kijana mdogo kuwahi kuhukumiwa kifo
Alilazimishwa kukubali kuwa kauwa wakati sio yeye muuwaji
View attachment 1798710
Sio ndo huyu aliuliwa au nimeshaanza kusahau Roman lawView attachment 1798723View attachment 1798724
Julius Caesar maarufu kama Kaisari alikuwa ni mtawala wa kisiasa na kijeshi enzi za Warumi.
Anakumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana kuathiri dunia hadi leo.
Baadhi ya mafanikio hayo ni:
1.Kama kiongozi wa kijeshi aliteka Gallia (Ufaransa) na kuifanya jimbo la Kiroma. Kutokana na hiyo lugha ya Kifaransa na lugha nyingi kama Kireno, Kihispanyola n.k (kwa ujumla wake huitwa Romace languages) ni lugha zenye ukaribu sana na Kilatini, lugha ya Roma ya Kale.
2.Waroma wa Kale walimheshimu kushinda viongozi wote waliomfuata au kutangulia akatangazwa kuwa mungu.
Jina lake lilipata kuwa neno kwa ajili ya cheo cha watawala wa Kiroma waliomfuata. Kutokana na badiliko hilo la jina "Caesar" kuwa cheo, lugha mbalimbali zilipokea cheo hicho kama vile Kijerumani ("Kaiser"), Kirusi ("Tsar") na Kiswahili ("Kaisari" - kutokana na neno la Kijerumani).
3. Aliunda kalenda ambayo imekuwa msingi wa kalenda ya kimataifa leo (Kalenda ya Juliasi). Kwa heshima yake, mwezi wa saba unaitwa Julai.
4.Katika historia ya Roma yee ndie aliepelekea kufa kwa Jamhuri ya Roma (Roman Republic) na kuzaliwa Dola la Roma (Roman Empire) aliloliwekea misingi na lililotawala sehemu kubwa ya bara la Ulaya na Asia kwa miongo mingi.
Moja ya misemo (quotes) maarufu ya Kaisari ni pamoja na "Veni, Vidi, Vici" kwa Kiingereza "I came, I saw, I concured" kiswahili "Nilikuja, Nikaona, Nikashinda" huu msemo aliutumia katika ripoti yake ya vita baada ya kushinda vita iliyomchukua muda mfupi dhidi ya Pharnaces II wa Pontus.
Yes aliuwawa kwa kuchomwa visu mara 23 wakati wa baraza la senate. Wauwaji wakiongozwa na Marcus Brutus.Sio ndo huyu aliuliwa au nimeshaanza kusahau Roman law
Na miaka ya hivi karibuni ilikuja kuonekana kuwa hakuwa na hatia
Aligombea ubunge mara 5Rais wa awamu ya 5 aliongoza nchi kwa miaka 5 na miezi 5. Kuna nini nyuma ya namba 5 kwa huyu bwana!
Ameiweka da vinci...😊Lete picha yake na utueleze umaarufu wake
Ngozi nyeusi tumetoka mbali na bado tu safarini! 🤔George Stinney 1929-1944 aliehukumiwa akiwa na miaka 14 tu kwa kosa la kuwauwa wasichana wa kizungu wawili Betty (11) na Mary Emma 7 huko South Carolina USA
Kesi ya kijana huyo mweusi iliamuliwa na kuhusishwa na mauwaji kwa dakika 10 tu na kuamua auwawe kwa kiti cha umeme
Ni kijana mdogo kuwahi kuhukumiwa kifo
Alilazimishwa kukubali kuwa kauwa wakati sio yeye muuwaji
View attachment 1798710
White supremacists are always sic upstairs! 🤬Na miaka ya hivi karibuni ilikuja kuonekana kuwa hakuwa na hatia