Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Nina miaka 28.
Tangu nizaliwe sijawahi kuvuta bange, kunywa pombe, wala sigara.na sitarajii kufanya chochote kati ya hivyo.
Ulevi wangu wanawake.
 
Mi nataka nianzishe uzi maalumu wa wala ndumu,sjui mods wataucha uishi?
Kama Mods wameachia uzi wa Walevi,
Sidhan kama watauondoa uzi wa Wala ndumu,
Kwani pombe madhara yake ni makubwa sana kuliko Ndumu,,
Ijapokuwa vyote kwa pamoja havifai, hata sigara naona ina madhara zaid kuliko bangi
 
Kuna Siku tulitoka out na mashoga zangu, yaani nilisikia baridi balaaa, hapo wenzangu wamechamkamka balaa, ile sehemu INA baridi sana kutoka ziwani, nilimuita mhudumu nikamwambia naomba maziwa ya motooo, mhudumu kasema nisubiri aweke order jikoni, watu walishangaa sana, aliponiletea nikaenda kukaaa pemben mwenyewe, maana pombe zao zilishaanza kuniumiza kichwa dah pombe mbaya.
 
Mada imepyaya mno, toka tarehe 1/10/2018!!!!!
 
Nina miaka 28.
Tangu nizaliwe sijawahi kuvuta bange, kunywa pombe, wala sigara.na sitarajii kufanya chochote kati ya hivyo.
Ulevi wangu wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina ulevi wowote
 
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.

Pamoja mkuu wetu wa hapa JF, Shushushu wa TISS na mwanaCCM ulietukuka
 
Mkuu kuna vinywaji navikubali sana mfano Voelkoel vya ujerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…