mtoto boss
Senior Member
- Jan 4, 2019
- 182
- 141
Ndio maana mnapata stroke kunyweni Pombe [emoji3]
Kunywa juice ni umama, piga konyagi kavu baadae ongeza balimi 4 ili equation libalance vizuri! Hapo hata mbu watakula kona.Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.
Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Huu ndio ulevi mbaya kuliko mwingine wowote, ni aheri ununue gunia la bangi uanze kujifunza taratibu!Nina miaka 28.
Tangu nizaliwe sijawahi kuvuta bange, kunywa pombe, wala sigara.na sitarajii kufanya chochote kati ya hivyo.
Ulevi wangu wanawake.
Huu ndio ulevi mbaya kuliko mwingine wowote, ni aheri ununue gunia la bangi uanze kujifunza taratibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswahaba hata pombe waliinywa, ukiwa ni mlevi wa wanawake tu basi tofauti ya mikiki ya wanaume na wanawake inakuwa ndogo sana
Maswahaba hata pombe waliinywa, ukiwa ni mlevi wa wanawake tu basi tofauti ya mikiki ya wanaume na wanawake inakuwa ndogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
una akili za kipumbavu kwakuwa hutumii pombeBaada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.
Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Nice AvatarNilijua tuu huu uzi lazima utavamiwa na walevi kama wameitwa. Hawa ndugu zetu wana shidaa
Thanks
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.
Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Kwa wasiogusa munde
[emoji23][emoji23][emoji106][emoji123][emoji120][emoji120]Uzuri wake ni kwamba unaweza kuwa unabugia pombe halafu chai,juisi,maji hata kumeza mate yako mwenyewe hakukushindi.Kwa hiyo huu ni Uzi wa jumuiya yote.
kuna wine tamu kuliko zote stamp moscato...Nzuri lakini inalewesha[emoji23] 15,000 chupa kubwa bar wanauza hadi 20,000
Kama sio mnywaji sikishauri labda upata Robertson sweet kidogo sio kali
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu..ila za wala mirungi ni balaaa.
Jamaa handas ikipanda akiona nzi ukutani anadhani ni msumari wa kutundikia shati.
Anapotaka kutundika, nzi akihama anahama naye bila kujiuliza. Mirungi hataree.