Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

alafu nasikia hawa wanaojifanya hawanywi pombe ndo wapenzi sana wa yale mambo ya chini
 
Mi nataka nianzishe uzi maalumu wa wala ndumu,sjui mods wataucha uishi?
Dah...anzisha bana ...tupeane mbinu[emoji263][emoji256][emoji3515] [emoji125][emoji125][emoji1732][emoji1732][emoji378][emoji95]
 

Mkuu kila shetani na mbuyu wake. Faida unayoipata kwa kujenga nyumba ni sawasawa na raha unayoikosa kwa kutokunywa pombe.
Mimi ni teetotaller lakini.
 
Kwani wine aka mvinyo ni mgumu? Mimi naonaga wine ni laini sana
 
 
Mshana ujerumani wako mbioni kuupitisha hangover au mning'inio
Kama ugonjwa kwahiyo waweza omba ruhusa ofisini kuwa Leo sitokuja naumwa mning'inio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo furahidei umesahau
 
Ukitaka kuwakomesha wanywa pombe mkiwa bar, we agiza BALTIKA

Heshima kwako halafu watupie ofa uone wote watafyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…