mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
Jamani pole sana mzee wa busara ila usijali Mungu atatenda miugiza yake, yeye ni jibu la mambo yote. Ngoja wataalam waje.
Nashukuru Hit,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani pole sana mzee wa busara ila usijali Mungu atatenda miugiza yake, yeye ni jibu la mambo yote. Ngoja wataalam waje.
Hivi ndivyo alivyokua mwanangu, naye alichelewa kuongea tena alikua hajichanganyi na watoto wengine. Hata ukimuweka kwenye kundi la watoto baada ya muda alikua anajitenga.Thanks @Honey Faith, ni kweli, mtoto wangu pia mara nyingi alikuwa anapenda sana kucheza peke yake, hata ukimchanganya na wenzake bado anapenda kuwa na michezo yake tofauti. Siku hizi kidogo kidogo ameanza kujichanganya na watoto wenzie lakini bado haijasaidia.
Alikaza shingo akiwa na miezi mingapi? Alikaa mwenyewe akiwa na miezi mingapi? Alitambaa akiwa na miezi mingapi? Alitembea akiwa na miezi mingapi?
Changanya Asali na chumvi kidogo mpaka katika ulimi wake kila siku asubuhi atasema kwa muda usiozidi siku 7 tumia kisha uje unipe feedback mkuu.
Hivi ndivyo alivyokua mwanangu nae alichelewa kuongea tena alikua hajichanganyi na watoto wengine hata ukimuweka kwenye kundi la watoto baada ya muda alikua anajitenga. Sasa hivi yuko std 5 anaongea lkn bado ana tabia za pekee. Hebu jaribu kumuangalia ulimi wake yaani chini ya ulimi kukoje. Wakati mwingine waweza kuta ulimi umeshikiliwa na kinyama/sijui kinaitwa tongue tie .
Ndio hicho kingozi wataalamu wanakiondoa . Hapo ninaposema ana tabia za pekee namaanisha bado si mtu wa kujichanganya sana na wataalamu waliniambia kuna watoto wako hivyo so nisiwe na wasi wasi. Wataalam namaanisha madaktari usije ukafikiri nazungumzia waganga wa kienyeji (just kidding lol)Rafiki hebu fafanua hapo kwenye rangi. Hiki kinyama kinaweza kuondolewa na Wataalamu? Maana kucheza na ulimi si kitu kidogo kama kutakuwa na makosa.
Ndio hicho kingozi wataalamu wanakiondoa . Hapo ninaposema ana tabia za pekee namaanisha bado si mtu wa kujichanganya sana na wataalamu waliniambia kuna watoto wako hivyo so nisiwe na wasi wasi. Wataalam namaanisha madaktari usije ukafikiri nazungumzia waganga wa kienyeji (just kidding lol)