Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika
Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo pekee yatakayodhihiridha kama UNA(YO) AKILI AU HUNA...

Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.. Sana sana labda upate mganga mkweli na wa kweli kukuagua madhila yako
Ushirikina ni vifungo.. Ni vitu vinavyogungamanishwa pamoja kwenye ulimwengu wa macho na kutumia vitu vya kawaida kabisa.. Hata kwenye kutenganisha ni vifungo pia kwakuwa kuna vitu vinafungamanishwa
Washirikina wengi hupenda kutumia maneno haya ya kiimani.. Kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa...! Mbingu ni kiwakilishi cha ulimwengu wa roho
Yafuatayo ni mapicha mbalimbali ya vifungo vya kishirikina.. Kumbuka
Mtu akitaka kukuumiza kichwa atafungamanisha vitu vyake pamoja na nywele zako
Mtu akitaka kukuumiza mikono hapo ni lazima apate kucha zako na akitaka kukumiza miguu ni aidha soksi au unyayo wako (footprints)
Via vya uzazi ni manii, mkojo au nguo za ndani
Na mwili wote ni picha yako inayotengenezewa kinyago

Vitu kama sindano, nyembe na chupa zilizosagwa hutumika sana kuumiza watu kishirikina..
Hivi unajua ni kwanini mchawi hatumii yai zima bali viza?
chiembe this is for u😀
1744586899297.jpg
1744586863948.jpg
 
Nikuulize swali ?
Okay, kwa vile uko mgumu wa kung’amua mambo….

Let me save you some valuable time and brain cells.

I’ve ignored you for years now and you seem not to get it.

Mara kadhaa unaninukuu na wala sihangaiki kukujibu. Hujastukia tu?

Here’s the proof.

IMG_7788.jpeg


So just keep it moving. Don’t even bother. Okay?
 
Back
Top Bottom