Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Kumekucha wachawi konyo sana
Wakishua hizi mambo huwezi juaBullshit!
Ushirikina sijui uchawi, haupo. Ni imani potofu iliyojikita kwenye ujinga na upumbavu tu.
Watu JF mnaichukulia serious sana aiseee..!! 😹😹Okay, kwa vile uko mgumu wa kung’amua mambo….
Let me save you some valuable time and brain cells.
I’ve ignored you for years now and you seem not to get it.
Mara kadhaa unaninukuu na wala sihangaiki kukujibu. Hujastukia tu?
Here’s the proof.
View attachment 3303452
So just keep it moving. Don’t even bother. Okay?
😹😹😹 MxieeeewwKuna mhanga nilipiga teke makopokopo yake nika mkunja roba kama nusu dakika nikamwambia fanya chochot umbwa wewe akanambia utaona niliyafanya haya miaka sita iliyopita
😹😹😹 Wewe jamaa mbavu zangu zinaniuma bhana..!!Juzi narud hom saa nane usiku nikaskia visaut chini ya mti sivielew elew nikasogea hapo sikuona kitu nilitaka nikamate nitandike makofi takataka zote
Jaman samahan, kama kuna kukwaruzana, jitahidini kusameheana..Okay, kwa vile uko mgumu wa kung’amua mambo….
Let me save you some valuable time and brain cells.
I’ve ignored you for years now and you seem not to get it.
Mara kadhaa unaninukuu na wala sihangaiki kukujibu. Hujastukia tu?
Here’s the proof.
View attachment 3303452
So just keep it moving. Don’t even bother. Okay?
🤣🤣Kuna wakati nilikuroga mambo yako yakayumba sana kisha nikakuonea huruma!😀
Uzi umevamiwa cc. KirangaBullshit!
Ushirikina sijui uchawi, haupo. Ni imani potofu iliyojikita kwenye ujinga na upumbavu tu.
Mimi na Nyani Ngabu tunakubaliana katika hili.Uzi umevamiwa cc. Kiranga
Kaka mkubwa njoo utie neno.
🤣🤣😂😂Mimi na Nyani Ngabu tunakubaliana katika hili.
Nyani Ngabu anaongea kwa authority kama mtu wa Gambosh 😂😂😂
Ni kazi ngumu sana aisee!Sema kumuaminisha mtu aliyelelewa na wazazi washirikina(Waamini Uchawi) kuwa uchawi haupo ni kazi sana.
Hiyo kitu nimeshawahi kushudia Tanga (Muheza/Mheza)hapo 2020.Tanga wajanja wanavivuta tu popote vilipochimbiwa duniani, hata kama chini ya bahari
Wataendelea kukaza fuvu! Wazazi wao ila wanajua Sana na wamefanya sana ndyo wakakuta Maisha yako mseleleko.Wakishua hizi mambo huwezi jua
Huyu ni bwana na bibi?Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika
Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo pekee yatakayodhihiridha kama UNA(YO) AKILI AU HUNA...
Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.. Sana sana labda upate mganga mkweli na wa kweli kukuagua madhila yako
Ushirikina ni vifungo.. Ni vitu vinavyogungamanishwa pamoja kwenye ulimwengu wa macho na kutumia vitu vya kawaida kabisa.. Hata kwenye kutenganisha ni vifungo pia kwakuwa kuna vitu vinafungamanishwa
Washirikina wengi hupenda kutumia maneno haya ya kiimani.. Kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa...! Mbingu ni kiwakilishi cha ulimwengu wa roho
Yafuatayo ni mapicha mbalimbali ya vifungo vya kishirikina.. Kumbuka
Mtu akitaka kukuumiza kichwa atafungamanisha vitu vyake pamoja na nywele zako
Mtu akitaka kukuumiza mikono hapo ni lazima apate kucha zako na akitaka kukumiza miguu ni aidha soksi au unyayo wako (footprints)
Via vya uzazi ni manii, mkojo au nguo za ndani
Na mwili wote ni picha yako inayotengenezewa kinyago
Vitu kama sindano, nyembe na chupa zilizosagwa hutumika sana kuumiza watu kishirikina..
Hivi unajua ni kwanini mchawi hatumii yai zima bali viza?
chiembe this is for u😀View attachment 3303439View attachment 3303440
Wakishua hizi mambo huwezi jua
Wakishua hizi mbanga hawawezi zisoma, ile unavunjika mguu kila ukienda hosp hauponi, alafu kuna jamaa anamvunja kuku mguu kuku akipona nawe umepona . Kazi kweli kweli yoooye maisha wachawi mwaka huu mmeyatimba sana.Wakishua hizi mambo huwezi jua
Nimeshawahi kushuhudia pia teena zaidi ya mara moja misha ni mapambanao mwendo wa lukumba lukumba.Hiyo kitu nimeshawahi kushudia Tanga (Muheza/Mheza)hapo 2020.
Nilistajabu Sana.
Weee na Mussa (Moses) nani zaiidi na ukumbuke huyo alikuwa anaambiwa na Mungu live kuliko.wewe mpaka ulale uote ndoto zitafsiriwe na nabii, mtume achane zenu bwana.Mganga mkweli hayupo na hatatokea, waganga ni agents wa shetani na hushurikia a na wachawi kufanya kazi ya babao shetani.
Mlokole, aliye okoka,mwenye chapa ya Kristo usoni mwake, mwana wa Mungu, hawezi kuonekana kwenye rada za kichawi.
Ukichukua nyayo huyeyuka na kugeuka moto,nk nk