Mlokole anae Mungu Roho mtakatifu ndani yake,Weee na Mussa (Moses) nani zaiidi na ukumbuke huyo alikuwa anaambiwa na Mungu live kuliko.wewe mpaka ulale uote ndoto zitafsiriwe na nabii, mtume achane zenu bwana.
Sasa Ili umroge Mlokole, ni shart umroge Mungu aliye ndani ya Mlokole,jambo ambalo haliwezekani, Mlokole labda aamue mwenyewe kumwasi Mungu ndio ataweza kurogeka, tofauti na hapo, haliwezekani.
Hili nalokwambia ni halisi, kama huamini nenda kwa mganga mtajie jina la Mlokole yoyote aliyekaa vizuri na Mungu uone kama mganga atadiriki.