Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Alafu wanasema kuanzia saa 6 usiku hadi saa 9 ndo peak ya hayo matukio
Huyo hana impact yoyote ndani ya CCM, labda ukafukue vilivyozikwa pale, utaweza?Tumtoe kafara Lucas Mwashambwa make huyu nae ni nusu ya ccm
Lakini anahitajika kobe ambaye ni mlemavu, sasa sijui kama atapatikana 😂Wewe utakuja kulipua dunia unakoelekea 😹😹😹
Uko wapi nikuletee kobe tumalize kazi 🤣
Duh, hatari tupu pasipo ulinzi wa Mungu!Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika
Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo pekee yatakayodhihiridha kama UNA(YO) AKILI AU HUNA...
Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.. Sana sana labda upate mganga mkweli na wa kweli kukuagua madhila yako
Ushirikina ni vifungo.. Ni vitu vinavyogungamanishwa pamoja kwenye ulimwengu wa macho na kutumia vitu vya kawaida kabisa.. Hata kwenye kutenganisha ni vifungo pia kwakuwa kuna vitu vinafungamanishwa
Washirikina wengi hupenda kutumia maneno haya ya kiimani.. Kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa...! Mbingu ni kiwakilishi cha ulimwengu wa roho
Yafuatayo ni mapicha mbalimbali ya vifungo vya kishirikina.. Kumbuka
Mtu akitaka kukuumiza kichwa atafungamanisha vitu vyake pamoja na nywele zako
Mtu akitaka kukuumiza mikono hapo ni lazima apate kucha zako na akitaka kukumiza miguu ni aidha soksi au unyayo wako (footprints)
Via vya uzazi ni manii, mkojo au nguo za ndani
Na mwili wote ni picha yako inayotengenezewa kinyago
Vitu kama sindano, nyembe na chupa zilizosagwa hutumika sana kuumiza watu kishirikina..
Hivi unajua ni kwanini mchawi hatumii yai zima bali viza?
chiembe this is for u😀View attachment 3303439View attachment 3303440
😹😹 Hadi wajane wapo ni wewe kuweka location..!!Lakini anahitajika kobe ambaye ni mlemavu, sasa sijui kama atapatikana 😂
Akipatikana mjane itakuwa vyema zaidi, ila ujipange tu maana safari hii tutatumia kiswahili sio kizungu 😂😹😹 Hadi wajane wapo ni wewe kuweka location..!!
Mimi ni mkristo mlokole wa kaliba yake .. Na imani yangu juu ya Mungu baba ni kubwa na ya kipekee sana..
Ukiwa na Mungu hurogwi. Muulize Mshana Jr .Sa si tuiroge ccm
Nasikia eti mbususu zote ni za mzabzab !Hivi wajapan wanalogeka? Nataka mtoto wa kijapana anipenda twenxe nae jaapan
Hakuna nguvu za Mungu wala uchawi.Mshana Jr ebu siku moja leta Uzi unaohusu nguvu za Mungu, maana Kila Uzi unahusu nguvu za uchawi na matunguli. Hujawahi kutumia nguvu za Mungu?
Unatumia nguvu za uchawi tuu?
Hapa siyo sehemu inayokufaa, nenda fb.Hakuna nguvu za Mungu wala uchawi.
Hakuna Mungu.
Hakuna uchawi au ushirikina.
JF sio ya bibi yako.Hapa siyo sehemu inayokufaa, nenda fb.
Hapo kwenye kiswahili tutawaibua mpk kina sheikh Yahya 😹😹Akipatikana mjane itakuwa vyema zaidi, ila ujipange tu maana safari hii tutatumia kiswahili sio kizungu 😂
Naunga mkono hoja , aina ya watu wanao amini haya mambo ya uchawi inasikitisha sana .Hakuna nguvu za Mungu wala uchawi.
Hakuna Mungu.
Hakuna uchawi au ushirikina.
wewe unafikiri kwa nini MUNGU alisema "usimwache mwanamke mchawi"aishi?Bullshit!
Ushirikina sijui uchawi, haupo. Ni imani potofu iliyojikita kwenye ujinga na upumbavu tu.
Mambo vp? Bro nyani nakukaribisha kwa Nia njema ukirudi nyumbani Tanzania.Ni kazi ngumu sana aisee!
Nimekuja kugundua kuwa watu wanaoamini hayo mambo huwa hawatumii akili.
Ni kama vile wanazima kabisa akili zao.
Dini na uchawi ni mabawa mawili ya ndege mmoja kwa sababu msingi wake mkuu ni imani.
Ila pia nimekuja kugundua kuwa kwenye dini [imani ya mungu] kuna walau kiasi flani cha matumizi ya akili katika kuaminisha uwepo wa mungu.
Huko kwenye uchawi matumizi ya akili hayapo kabisa. Ni mwendo wa ujinga na upumbavu tu. Tena wakati mwingine inaonekana kama vile hao waumini wa uchawi hufanya mashindano ya kujionyesha nani ni mjinga na mpumbavu zaidi.
Kwenye dini kuna intellectuals kibao. Kuna mapadri, maaskofu, wqchungaji, mashehe nk. ambao hutumia akili katika kuendeleza na kuhubiri imani zao.
Ukija kwenye uchawi wala huhitaji kwenda ndani sana. We Angalia tu hata wale watu ambao hudaiwa wamedondoka na ungo.
Kwa muonekano tu wanaonekana kuwa kichwani hamnazo 🤣.