UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Kwani yeye alikwambia atakufanya nini kiasi cha wewe ku expect hicho kitu?Anhaaa kwaio niendelee kusubir
Ila mi nlitaka anioneshe mapema kuna mambo nataka nifanye
Kwani yeye alikwambia atakufanya nini kiasi cha wewe ku expect hicho kitu?Anhaaa kwaio niendelee kusubir
Ila mi nlitaka anioneshe mapema kuna mambo nataka nifanye
Imani ya Uchawi mkuu inaaminiwa na watu aina zote. kuanzia ngozi nyeusi hadi nyeupe, masikini hadi matajiri, waliyo na elimu na wasio na elimu. Kama hadi huko kwa wazungu bado imani hii ipo tena wana madarasa kabisa ya kufundishana ukiachia maelfu ya vitabu vyenye kuhusu uchawi ni wazi hii imani haijaacha kundi lolote.Naunga mkono hoja , aina ya watu wanao amini haya mambo ya uchawi inasikitisha sana .
Wote ni vilaz tu🚮Imani ya Uchawi mkuu inaaminiwa na watu aina zote. kuanzia ngozi nyeusi hadi nyeupe, masikini hadi matajiri, waliyo na elimu na wasio na elimu. Kama hadi huko kwa wazungu bado imani hii ipo tena wana madarasa kabisa ya kufundishana ukiachia maelfu ya vitabu vyenye kuhusu uchawi ni wazi hii imani haijaacha kundi lolote.
Ni vilaza kwenye kuamini uchawi tu au ndio kiujumla?Wote ni vilaz tu🚮