Waswahel wanasema.. Tembea uone.. Ya kuonwa ndio hayo sasaUnajua kukubali uchawi upo inategemea na umri wa mtu
Saaa weew hujatembea ni Dar tuu toka umezaliwa.
Una miaka 30 hujawahi toka Dar lazima ubishe.
MIye nilienda kuishi Ludewa huko 2005 nilipofika pale niliwekwa kikao na wenyeji.
Kwenye msiba nisile chochote mpk nipewe, nilishangaa maana kwetu huku pwani usipokula msibani ni Mfekane war.
Sababu ya kutokula walisema inawezekana vike viazi ni nyama za watu mimi nikila ntalipa nini? Maana siyo mshirika.
Pia ajabu nyingine ukiumwa ulikuwa unauliza M/kiti wa wachawi vipi hii homa ya Mungu au nimemkosea mtu.
Pia nilikutana na binti wenzake wanamwambia umenenepa safati hii akajibu mimi nyama mbonq wananiacha tuu ninenepe wanile nyama, nilishaangaa sana.Nilimwambia weee Gvt hairuhusu kulana nyama unqjua hilo. Akacheka tuu kichechoko cha huzini akaondokq zake.
Tembee ujionee usingoje kuambiwa utaijua dunia.
Mshana Jr
da!!!!!!!! "uchwai ni wa hovyo sana!!Kubwa kuliko yoteView attachment 3372243
Mi ukija kwangu kwa ubaya utaona kaburi na mashada kuwa nishakufa siku nyingiii utarudi zakoNi mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika
Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo pekee yatakayodhihiridha kama UNA(YO) AKILI AU HUNA...
Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.. Sana sana labda upate mganga mkweli na wa kweli kukuagua madhila yako
Ushirikina ni vifungo.. Ni vitu vinavyogungamanishwa pamoja kwenye ulimwengu wa macho na kutumia vitu vya kawaida kabisa.. Hata kwenye kutenganisha ni vifungo pia kwakuwa kuna vitu vinafungamanishwa
Washirikina wengi hupenda kutumia maneno haya ya kiimani.. Kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa...! Mbingu ni kiwakilishi cha ulimwengu wa roho
Yafuatayo ni mapicha mbalimbali ya vifungo vya kishirikina.. Kumbuka
Mtu akitaka kukuumiza kichwa atafungamanisha vitu vyake pamoja na nywele zako
Mtu akitaka kukuumiza mikono hapo ni lazima apate kucha zako na akitaka kukumiza miguu ni aidha soksi au unyayo wako (footprints)
Via vya uzazi ni manii, mkojo au nguo za ndani
Na mwili wote ni picha yako inayotengenezewa kinyago
Vitu kama sindano, nyembe na chupa zilizosagwa hutumika sana kuumiza watu kishirikina..
Hivi unajua ni kwanini mchawi hatumii yai zima bali viza?
chiembe this is for u😀View attachment 3303439View attachment 3303440
Hakuna mahusiano ya uchafu na uchawi na ndio maana wengine hutumia visomo tu kufanya uchawi au kutibu hatumii tunguri au hivyo vifaa unavyosema vichafu, ila wenzetu wazungu pia kwa kiasi kikubwa unakuta vifaa vyao ni visafi.Kwa nini matunguri na vifaa vingi vya kichawi vinakuwaga vichafu vichafu? Je kuna uhusiano gani kati ya uchafu na uchawi?
Unawezaje kujua haurogeki? Kwa sababu uchawi ulivyo upo wa aina tofauti na ndio maana unaweza ukashindwa kumroga mtu kwa kumtia labda au kumuuwa sababu ya kinga aliyonayo ila ukimroga uchawi wa mapenzi unampata.Ukilogwa ukiwa kwenye frequency za chini ukiwa kwenye frequency za juu hata wachawi wanakuogopa unakuwa umevuka level za kulogwa thus wengine sisi hatulogeki tushatoka huko