Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Mambo vp? Bro nyani nakukaribisha kwa Nia njema ukirudi nyumbani Tanzania.
Ntakupa tour ya bureee uje huku sumbawanga najua utachange your mind..
Then utakuja uwape mrejesho shida kubwa ni kua exposure yako ime ruin Mila na desturi za kiafrika.

Karibu Katavi
katavi sehemu gani mkuu?
 
Great thinker wapi?

Umeshindwa kujibu hoja za watu toka huko juu. Unaanza kuleta habari zingine nje ya mada.

Kama Afrika ina ushirikina kweli wenye nguvu, mbona watu wanashindwa kuutumia huo ushirikina kuleta maendeleo makubwa kwenye jamii zao?

Ulimwengu huu huu uliopo unawashinda, Halafu mnajifanya ma expert kwenye ulimwengu wa kufikirika.
Punguza pupa na defensive mechanism. Hakuna mtu niliyeshindwa kujibu hoja yake hapa.. Unapenda kulazimisha kitu wakati kumbe hujasoma mada kwa makini na kuielewa. Unauliza kuhusu uchawi kuleta maendeleo wakati kwenye mada very clearly nimeandika hivi....Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.....
Ungekuwa ni msomaji makini ungeona hiyo sentence.. Lakini ni wazi umechangia kwa papara na ukiwa na majibu yako tayari
By the way kwa uzoefu wangu wale wanaojifanya kuuchukia sana uchawi ni ama wamejawa hofu, hawajiamini ama ni wateja wakubwa
 
Hakuna uchawi.

Ni propaganda uchwara tu.

Wajinga tu ndio wanaamini uchawi.
 
Unajua kukubali uchawi upo inategemea na umri wa mtu
Saaa weew hujatembea ni Dar tuu toka umezaliwa.
Una miaka 30 hujawahi toka Dar lazima ubishe.
MIye nilienda kuishi Ludewa huko 2005 nilipofika pale niliwekwa kikao na wenyeji.
Kwenye msiba nisile chochote mpk nipewe, nilishangaa maana kwetu huku pwani usipokula msibani ni Mfekane war.
Sababu ya kutokula walisema inawezekana vike viazi ni nyama za watu mimi nikila ntalipa nini? Maana siyo mshirika.
Pia ajabu nyingine ukiumwa ulikuwa unauliza M/kiti wa wachawi vipi hii homa ya Mungu au nimemkosea mtu.
Pia nilikutana na binti wenzake wanamwambia umenenepa safati hii akajibu mimi nyama mbonq wananiacha tuu ninenepe wanile nyama, nilishaangaa sana.Nilimwambia weee Gvt hairuhusu kulana nyama unqjua hilo. Akacheka tuu kichechoko cha huzini akaondokq zake.
Tembee ujionee usingoje kuambiwa utaijua dunia.
Mshana Jr
 
Ukilogwa ukiwa kwenye frequency za chini ukiwa kwenye frequency za juu hata wachawi wanakuogopa unakuwa umevuka level za kulogwa thus wengine sisi hatulogeki tushatoka huko
 
Kuna level za ukuaji kiroho ukifika unavuka level ya kulogwa,kupata matatizo au kuugua hizi ni level za chini za ukuaji kiroho
 
Maana hakuna kitu kinaitwa matatizo bali matatizo ni upo darasani unapikwa au ni vipindi tu lazima nyota yako ipite ili kuelekea kesho bora zaidi thus kila tatizo ni fursa,kwa level za uchawi inaweza ikawa na tafsiri ya tatizo kwa level zingine ni darasa
 
Ubaya wa hivi vitu ukiviamini tu unakuwa addicted
Nnajamaa yangu mpaka leo anatembea na kipembe cha mbuz na mkia wa mjusi na bado ana mikosi usiskie....yani hata ile gari ya mafuta ilionguka kigogo majuzi kidogo imsage na vimkia vyake kiunoni
Sasa hujui hivyo vitu ndio vilimuokoa 🤪🤪
 
nenda maeneo ya mpanda,sumbawanga,kigoma ukawe malaya mla wake za watu alafu baada ya miaka miwili tu ulete mrejesho hapa.
Unathibitisha vipi ni uchawi na si maarifa ambayo wewe huna au huyaelewi?
 
Uchawi upo kuna anayebisha? usikute hata huyu mkurugenzi kapelekwa na wandava
 
Back
Top Bottom