Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Samahani mkuu nipatie msaada wa huyo aliyekutibu,maana kuna ndugu yangu anacho,tena wa kike,anapata shida.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Imebidi nikajichungulie aisee
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Samahani mkuu nipatie msaada wa huyo aliyekutibu,maana kuna ndugu yangu anacho,tena wa kike,anapata shida.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mwambie aende Ungindoni kule karibia na kibada, then afike msikitini aulizie kwa mzee Yusuphu(hatopata shida kupata maana ni maarufu sana), mkewe ndo anafanya shuhuli hiyo!
 
Ni sawa yawezekana kikawepo tangu unazaliwa lakini ni rarely to happen mostly huota na kukua. Huzalisha homa kali na kuuma. Utachoma sindano zote hakikomi maumivu.
Huweza kuota kwa jinsia zote hata wanaume.
Mwanaume aliyeota hiki kinyama anasadikika pia kudhuru watoto hata kufa. Mwanamke huishia kwenye misukosuko ya mahysiano na kuua watoto ama kuwadhuru.
Kitaalamu ukweli wa haya si wazi sana ila lazima tusiubeze maana kwa sasa hadi hospitali tiba imekuwepo juu yake.
Ktk dawa za asili huwa mengine yanaota ndani tumboni ambayo hata hospital ni ngumu kuyatoa but kuna dawa za asili hutumika kunywa ili kuyaondoa haya ya ndani japo dawa hizo ni chungu kuliko hata kulolokwini.
Ndiyo hivyo ila hutibu. Shukrani kwa mleta mada.
Wanawake wengi ni wahangwa ktk hili wengine kila akibeba mimba lazima na lenyewe liote ili limtese mwanaye.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muunganishe nami apate tiba ya swanga awe huru hata hospital siku hizi wanakata vizuri. Bibi yangu ana utaalamu wa kuvitambua hata vilivyoota ndani kwa kumuuangalia mtu nje tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Ni daktari au alikutumia picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…