Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Kwa wanaume sijui kwakuwa sijawahi kufanya utafiti[emoji85] [emoji85]

Kuna baadhi ya Wanaume wanakokamkia, yaani kanakua kama Mkia wa Kiboko ila kenyewe ni kadogo!(Tulikuwa tunaoga Ziwani nikamuona jamaa anako, huwa hapendi kuoga na watu wengine)
 
Hivi ni vikanga. Vyaeeza kuwa mbeleni ama nyuma.

Though kuna wale wenye hawaiti kwsabb ya ujauzito ama constipation. Hivi sio vikanga.

Dawa ya vikanga ni mnafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nishakua nao kama watatu tulivo achana achana sijui hata ilikuaje ila wa mwisho yeye ndio alinikimbia
 
Dunia bwana ina mambo mengi sanaa,vinatibika vile vidude, kuna mtu namfaham alipewa dawa na wamama wa kimasai kikaisha,lkn pia hivi mwenzako akiwa na tatizo ndo umkimbie kwann basi usiangalie namna ya kumsaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…