Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Ukishakuwa na upungufu wa kinga mwilini tayari ni tatizo
Jr[emoji769]
Kimwili kile kinyama sio ugonjwa...Kuna magonjwa ambayo ni hatari japo uwezi kuwa na upungufu wa kinga mwilini. Ila kiongelewacho ktk mada yako ni nyama inayojiokeza katika maeneo ya haja kwa mwanamke au mkia wasemavyo wengine. tusitoke nje ya mada yako.
Hata Mimi Nimewahi kusikia hivyo.Hata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Duuh marinda tena ngoja tumsubiri konky master aje atupe muongozoht wanaotoa jicho huwa na hiki kinyama!mi nikikionaga akili hufikiria kwmba hapo marinda yameharibika
Niliwahi sikia hiki kimkia huitwa/ndio asili ya neno GUNDU bro Mshana.Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
HapanaUna mikosi sana mkuu au!!??😀😀
Imebidi nikajichungulie aisee
Kimwili kile kinyama sio ugonjwa...
Jr[emoji769]
Ni kweli ishu hiyo ya uzazi ila kuhusu kuvikata sina hakika
[emoji120][emoji120][emoji120]Braza Mshana shikamoo
Leo umenifungua macho kwa uzi huu ingawa ni wa muda kidogo. Naweza kuwa shuhuda wa hili, nimeona na huyu mdada mwisho wa siku ni single mom ila ni descent sana na akimpenda mwanaume anampenda kweli.
ni hospital au kienyeji?Naamini katika mila zetu na hata dada yangu yalimtokea n kikakatwa.....
Ko am sure on what l speak......
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
walikata kwa njia ya opareshen au kienyeji?Kuhusu kukatwa hivyo vinyama hata mimi nimeshawahi kusikia. Na kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kunidokeza kuwa mkewe alikua nacho akakatwa, ikiwa ni baada ya wazazi wake mume kuhisi kuwepo shida kwenye masuala ya uzazi kwa mwanamke. Baada ya kukatwa mambo yakawa shwari.
Sent using Jamii Forums mobile app