Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Inaitwa Hemerroids au Piles

Ni kinyama kinachozidi tu katika mwili wa baadhi ya wanadamu. Inatokea kwa watu wa jinsia zote.

Kwa wanawake inawatokea zaidi wakati wa mimba, na kwa wanaume inawatokea pale wanaponenepa sana.

Mtu akifanyiwa operation kinaondolewa bas, kama ilivyo Appendix.

Hivyo vingine ni IMANI YA HOVYOHOVYO waliojibebea watu weusi waliozoea kujitungia imani za kijinga.

Ni kama wale walioamini kuwa kila mwenye uchogo ana akili kuliko asiye naye.

Ni Ujinga na Uongo Mtupu.
 
Mabinti niliokutana nao hawakuwa wajawazito na hawajawahi kubeba mimba
 
Hicho kinyama/kimkia huwatokea wanawake tu?
Kwa mwanaume kujua kama mwanaume mwenzako anacho ni ngumu labda uwe bata. Ila kwa mwanaume kujua kuwa mwanamke anacho ni rahisi. Mimi niliwahi kuona mwanamke mmoja tu maana wakati wa tendo ukipiga style ya operation tokomeza kama anacho unakiona. Ila sikuwahi kukihusisha na imani yoyote na sikuwahi kupata labda balaa ila ana K nyekundu sana halafu tamu ssaana.
 
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hii mada kumbe yawakubwa tu! nimesoma naona mchanganyo tu.. udogo shida
 
Wekeni picha ila tuwakague vizuri
.
17569679-.jpeg
 
Wengi wenye vinyama hvyo wamejaaliwa makalio makubwa yaan full raha me nawapenda hao wenye vinyama coz wana makalio malaini na makubwa hadi rahaaa
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]unayafanyaga nini hayo makalio makubwa!?
 
Back
Top Bottom