Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Inaitwa Hemerroids au Piles
Ni kinyama kinachozidi tu katika mwili wa baadhi ya wanadamu. Inatokea kwa watu wa jinsia zote.
Kwa wanawake inawatokea zaidi wakati wa mimba, na kwa wanaume inawatokea pale wanaponenepa sana.
Mtu akifanyiwa operation kinaondolewa bas, kama ilivyo Appendix.
Hivyo vingine ni IMANI YA HOVYOHOVYO waliojibebea watu weusi waliozoea kujitungia imani za kijinga.
Ni kama wale walioamini kuwa kila mwenye uchogo ana akili kuliko asiye naye.
Ni Ujinga na Uongo Mtupu.