Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kumbe mlikuwa mnapiga tu halafu mnajidai watakatifu kumbe watakavitu.Muda ndio kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mlikuwa mnapiga tu halafu mnajidai watakatifu kumbe watakavitu.Muda ndio kila kitu
Tulishuhudia wakati wa mkapa waliokua na Mwinyi wakilia
Tukashuhudia wakati wa JK wa mkapa wakilia
Wakati JPM wa JK walilia
Na sasa kwa SSH tutashuhudia wa JPM wakilia
Kibaya wanaokua kwenye hizo nafasi huwa hawawazi huu mwisho[emoji28][emoji28]
Muone huyu sasaKumbe mlikuwa mnapiga tu halafu mnajidai watakatifu kumbe watakavitu.
Mkuu ipo, hizi hela za mjapani wengi walizpiga sana kuanzia Mkapa na hasa Kipindi cha JK, alipoingia Jiwe alianza kuzifuatilia, Vigogo kadhaa walihojiwa akiwepo Manji kesi zaidi ya 20, Abood na nk.Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support.
Kwakuwa sijui ukweli wa madai haya yaliyotolewa na yule whistleblower maarufu, sitaeleze tuhuma husika wala kutaja wanaotuhumiwa, ila natarajia wenye dhamana au watuhumiwa kujitokeza hadharani ama kukanusha au kutoa ufafanuzi.
Vile vile nasubiri neno kutoka kwa wamiliki wa akaunti zilizotajwa na pia mabenki husika kutoa ufafanuzi wa hizo akaunti.
Kama tuhuma hizi na zingineni zinazoibuka hivi sasa na kuandikwa mitandaoni na huyu whistleblower ni za kweli, basi naanza kupata wasiwasi na mashaka kama Mama yetu ataiweza vita aliyoianza au itabidi afunike kombe kunusuru baadhi ya watu.
Time will tell.
Hakuna siri chini ya jua mama. Mbona sasa mautopolo yote yako wazi?Muone huyu sasa
Hivi unawezaje kuongea vitu usivyovijua?
Ndio maana katiba mpya itakoyupunguza nguvu za kifalme na za umungu mtu wa Rais inahitajika ila chama chenu cha kijani hakisikii, hakielewi wala hakijufunzi kutokana na historia.
Muda utasema nasi tutachangiaHakuna siri chini ya jua mama. Mbona sasa mautopolo yote yako wazi?
It's only a matter of time.
Swali ni je, hizo fedha baada ya kuzikusanya, zilipelekwa wapi?Mkuu ipo, hizi hela za mjapani wengi walizpiga sana kuanzia Mkapa na hasa Kipindi cha JK, alipoingia Jiwe alianza kuzifuatilia, Vigogo kadhaa walihojiwa akiwepo Manji kesi zaidi ya 20, Abood na nk.
Kulikuwa na taaisi ilikuwa inaitwa FOOD AID COUNTERPART ilikuwa inaundwa chini ya wizara ya Fedha, Kilimo mfadhili japani, Japani walitoa mikopo kwa watu waliopeka proposal za miradi, kigezo cha kupata fedha hizi ilikuwa ni kuwa na cash cover ya kudeposit na proposal business plan.
Manji alinufaika sana na deal hii kwani alikwatumika watu kutengeneza plan na yeye alikuwa natoa cash cover mnachukuwa mpunga.
Wengi hawakurudisha mikopo hii ndipo Jiwe akaanza kuifuatilia. Kiliundwa kikosi maalumu cha kufuatilia ambapo alikuwepo wawakilishi kutoka Wizara ya Fedha, Kilimo, TAKUKURU, Polisi na TISSS.
Upigaji wa Awamu ya WazalendoMuda ndio kila kitu
Huu ndio ukweli👍Sasa pro upinzani kila story ya kuchafua legacy ya Magu wakitupiwa wanashangilia kama mazuzu! (Kwa sauti ya Nyerere).
Take time na jiridhishe kwani hii project ilianza muda mrefu kabla hata ya kifo cha Magu. Wanatumia tu euphoria mnayoionyesha kuzidisha majungu na story za kupika.
Ule wa Mbowe umeusahau?Upigaji wa Awamu ya Wazalendo
Angalao hizo zilikuwa zinatufikia hizo za Wazalendo zilikuw juu kwa juuUle wa Mbowe umeusahau?
Au
Swali ni je, hizo fedha baada ya kuzikusanya, zilipelekwa wapi?
Dah, safari ya kufikia kuwa wazalendo bado ni ndefu sanaAngalao hizo zilikuwa zinatufikia hizo za Wazalendo zilikuw juu kwa juu
Unauliza jibu zilipelekwa chatoSwali ni je, hizo fedha baada ya kuzikusanya, zilipelekwa wapi?
Uzalendo wa kumwaga mabilioni wakati Raia wanashindia mlo mmoja.Dah, safari ya kufikia kuwa wazalendo bado ni ndefu sana