Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

Hivi ufisadi inchi hii upo au umetoweka?

Wadau mi mbona kama sielewi hii movie
Kuna genge la wahuni wako kazini uck na mchana na dawa ya haya magenge ni kupigwa risasi tu ndo yatajielewa mara baada ya kubainika yanahatia au yametiwa hatiani
 
Tulishuhudia wakati wa Mkapa waliokua na Mwinyi wakilia
Tukashuhudia wakati wa JK wa mkapa wakilia
Wakati JPM wa JK walilia
Na sasa kwa SSH tutashuhudia wa JPM wakilia

Kibaya wanaokua kwenye hizo nafasi huwa hawawazi huu mwisho[emoji28][emoji28]
Hiiii!
mama D kumbe wewe ni shikamoo jazz?
 
Nguvu ya kudai mabadiliko haiwezi anzia kwenye chama kimoja ikafanikiwa
Mabadiliko ya kweli huletwa na nguvu ya umma..... Na hii inawezekana tuu kwa ila sasa nani wa kuchochea na Nani wa kutoa elimu

Wapinzani nao hawaeleweki, hawajielewi wala hawaaminiki
Kwani hao wapinzani ni akina nani
 
Back
Top Bottom