Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support.

Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali mengi zaidi kwani inaleta picha/hisia kuwa hizo document huenda amepewa na wahanga wa hili jambo au watu wengine wasiopendezwa na mambo haya.

Kwakuwa sijui ukweli wa madai haya yaliyotolewa na yule whistleblower maarufu, sitaeleze tuhuma husika wala kutaja wanaotuhumiwa, ila natarajia wenye dhamana au watuhumiwa kujitokeza hadharani ama kukanusha au kutoa ufafanuzi.

Vile vile nasubiri neno kutoka kwa wamiliki wa akaunti zilizotajwa na pia mabenki husika kutoa ufafanuzi wa hizo akaunti.

Kama tuhuma hizi na zingineni zinazoibuka hivi sasa na kuandikwa mitandaoni na huyu whistleblower ni za kweli, basi naanza kupata wasiwasi na mashaka kama Mama yetu ataiweza vita aliyoianza au itabidi afunike kombe kunusuru baadhi ya watu.

Time will tell.
Maneno yangu ni yale yale tu, huenda CCM na serikali iliyopita ikavunja rekodi ya ufisadi wa kutisha huku watanzania wakibatizwa jina la Wanyonge
 
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support.

Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali mengi zaidi kwani inaleta picha/hisia kuwa hizo document huenda amepewa na wahanga wa hili jambo au watu wengine wasiopendezwa na mambo haya.

Kwakuwa sijui ukweli wa madai haya yaliyotolewa na yule whistleblower maarufu, sitaeleze tuhuma husika wala kutaja wanaotuhumiwa, ila natarajia wenye dhamana au watuhumiwa kujitokeza hadharani ama kukanusha au kutoa ufafanuzi.

Vile vile nasubiri neno kutoka kwa wamiliki wa akaunti zilizotajwa na pia mabenki husika kutoa ufafanuzi wa hizo akaunti.

Kama tuhuma hizi na zingineni zinazoibuka hivi sasa na kuandikwa mitandaoni na huyu whistleblower ni za kweli, basi naanza kupata wasiwasi na mashaka kama Mama yetu ataiweza vita aliyoianza au itabidi afunike kombe kunusuru baadhi ya watu.

Time will tell.
Hiz tetesi ni muhimu kufanyiwa kazi kwa uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na kujua wanufaika wa uporaji huo na kuchukua hatua stahiki.
 
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support.

Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali mengi zaidi kwani inaleta picha/hisia kuwa hizo document huenda amepewa na wahanga wa hili jambo au watu wengine wasiopendezwa na mambo haya.

Kwakuwa sijui ukweli wa madai haya yaliyotolewa na yule whistleblower maarufu, sitaeleze tuhuma husika wala kutaja wanaotuhumiwa, ila natarajia wenye dhamana au watuhumiwa kujitokeza hadharani ama kukanusha au kutoa ufafanuzi.

Vile vile nasubiri neno kutoka kwa wamiliki wa akaunti zilizotajwa na pia mabenki husika kutoa ufafanuzi wa hizo akaunti.

Kama tuhuma hizi na zingineni zinazoibuka hivi sasa na kuandikwa mitandaoni na huyu whistleblower ni za kweli, basi naanza kupata wasiwasi na mashaka kama Mama yetu ataiweza vita aliyoianza au itabidi afunike kombe kunusuru baadhi ya watu.

Time will tell.
Akifunika uozo haitasaidia
 
Tulishuhudia wakati wa mkapa waliokua na Mwinyi wakilia
Tukashuhudia wakati wa JK wa mkapa wakilia
Wakati JPM wa JK walilia
Na sasa kwa SSH tutashuhudia wa JPM wakilia

Kibaya wanaokua kwenye hizo nafasi huwa hawawazi huu mwisho[emoji28][emoji28]
Tatizo kila mtu ana mentality ya kapiga kwenye awamu akatayo kuwa
Wengine ushkaji wanautumia pia

Ova
 
Ndio nani
Kumbe wewe ni wa Mikoani,Mimi Uzalendo wangu ni huu hapo Ugali Samaki

MARK PICHA.jpg
 
Legacy ya magu ni ipi?
Sasa pro upinzani kila story ya kuchafua legacy ya Magu wakitupiwa wanashangilia kama mazuzu! (Kwa sauti ya Nyerere).

Take time na jiridhishe kwani hii project ilianza muda mrefu kabla hata ya kifo cha Magu. Wanatumia tu euphoria mnayoionyesha kuzidisha majungu na story za kupika.
 
Kuna gharama kubwa kuficha uongo na ndio yaliyokua yanatokea
 
Nguvu ya kudai mabadiliko haiwezi anzia kwenye chama kimoja ikafanikiwa
Mabadiliko ya kweli huletwa na nguvu ya umma..... Na hii inawezekana tuu kwa ila sasa nani wa kuchochea na Nani wa kutoa elimu

Wapinzani nao hawaeleweki, hawajielewi wala hawaaminiki
Wao wanaamin kikundi chao cha CHADEMA kinatakiwa kiwe na nguvu dhidi ya kikundi cha CCM basi yatosha kuipata katiba mpya.

Wao kuwapa elimu wananchi n kukitukana kikundi cha CCM na walio karibu nacho basi katiba inapatikana.

Wanahubiri NO VISASI mioyo yao inatupa taarifa kuwa wamebeba sime na mapanga vifuani mwao.

WATANZANIA HAWAELEWI WAMUAMINI NANI ZIMWI WASILO LIJUA AU WALIJUALO.

#tupoNAsafari
 
Back
Top Bottom