Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

Hivi ufisadi inchi hii upo au umetoweka?

Wadau mi mbona kama sielewi hii movie
Kuna genge la wahuni wako kazini uck na mchana na dawa ya haya magenge ni kupigwa risasi tu ndo yatajielewa mara baada ya kubainika yanahatia au yametiwa hatiani
 
Tulishuhudia wakati wa Mkapa waliokua na Mwinyi wakilia
Tukashuhudia wakati wa JK wa mkapa wakilia
Wakati JPM wa JK walilia
Na sasa kwa SSH tutashuhudia wa JPM wakilia

Kibaya wanaokua kwenye hizo nafasi huwa hawawazi huu mwisho[emoji28][emoji28]
Hiiii!
mama D kumbe wewe ni shikamoo jazz?
 
Kwani hao wapinzani ni akina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…