Tuchukulie mfano Secret Services zimejua, what next?kinachonifanya nisikubali ni common sense ya kawaida tu, simtetei Magufuli au yoyote yule, lkn hili hali make sense hata kidogo, Magufuli mpaka anakufa alikuwa na maadui nje na ndani ya nchi, sababu ya corona politics zake, iweje amuuwe mtu tena kwa risasi halafu sijui bendera ajue lkn secret services zote za wazungu zisijue?
You are a virus, you need to kill yourself to save the world.This is in your face.
Kwanini usishauri apelekwe mahakamani akatoe ushahidi?Unapotoa tuhuma nzito kama hizi unalazimika kuweka credible evidence. Sasa ushahidi wa Kabendera ni maneno ya kuambiwa na "maofisa wa serikali na watu kutoka vyama vya upinzani" Sasa tujiulize, ni mtu gani wa upinzani angeweza kuwepo wakati wa tukio hapo Ikulu?
Hii imeanza kuongelewa kitambo sana, hata threads humu JF zililizungumzia exactly na anavyobainisha Kabendera. The difference ni kwamba Kabendera officially amejitolea kulimwaga hadharani, si mjinga kwamba hajui consequences za ku-publish jambo ambalo akibanwa hataweza kulithibitisha. He knows na 'waja' wanajua wakithubutu kumshitaki pasina kufahamu ana information za ndani kwa kiasi gani yanaweza kuibuliwa mengi wasiyotaka yajulikane hadharani. It's the kind of risk that the 'system' isn't ready to take.nigga pleasee, Magufuli ampige mtu risasi live tena ikulu halafu ndio ije kujulikana leo? maadui wote hao wasiseme tu? come on man, you are better than that …
Duh!Nakubaliana na hoja hiyo. Ushahidi mwingine ni alivyopigwa risasi Tundu Lisu, wale wote walioshiriki katika kuokoa maisha yake walipigwa chini.
Kuanzia RC wa Dodoma kipindi kile ambaye aliruhusu ndege iliyombeba Tundu Lissu kuondoka.
Pia akaondolewa Mpoki Ulisubisya
wanasema risasi ilifyatuka bahati mbaya alikuwa hana nia ya kumuua ni kiumtisha tu..Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Na wewe bwana wakoNa wewe bwana wako.
Putin alimuua nani kwa mkono wake ukasikia kila mahali?siyo swala la kufanywa nini, bali wangesema live, Putin akiuwa kama unavyosema wanasema kila mahali, kwangu mimi ni ngumu kuamini kwamba USA na secret agancies zote ndani ya na nje ya tanzagiza raisi wa JMTZ aue mtu kwa kumpiga risasi halafu wasiseme chochote kile miaka 3 baadaye aibuke sijui bendera ndiyo ajue? ukichukulia Magufuli hakuiva na USA mpaka dakika za mwisho na walimuongelea vibaya kila mahali, hata tundu lisu alihojiwa bbc hardtalk aliongea mengi pamoja na kumtuhumu Magufuli kuhusika na upigwaji wake risasi lkn hakusema chochote kuhusu Magufuli kumpiga risasi mtu ikulu, tundu lisu alibanwa sana na aliyemuhoji lkn hakusema chochote, why?
Watakuja dai ilifyatuka kama alivyodai Ditopile alipomuua yule dereva daladala.wanasema risasi ilifyatuka bahati mbaya alikuwa hana nia ya kumuua ni kiumtisha tu..
Hata wasipokupotezea muda hiyo October utabadilisha nini?Nilicho kielewa kwenye haya ni kua tunapotezewa mda ili Oktoba ifike haraka
Vyeo ni vya moto waungwana bora hizi harakati zetu za deiwakaKwa mfano, Kabendera kasema Magufuli alikwenda kwa Samia na pajama akitaka kumbaka, Samia mpaka akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Samia aitwe mahakamani kuhojiwa kuhusu suala hili.
Naunga mkono hojaSasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Anatakiwa athibitishie wapi?Hatuwezi kuvumilia uongo na ulipizaji visasi na kuzusha madai bila ushahidi. Kesho, ataibuka mwingine na utopolo kama huu. Sheria iko wazi kuwa anayedai lazima athibitishe. Ni rahisi na wazi hivyo mwanangu.
Lissu anaujua mpango wote wa jaribio la kumuua na ameshayaongea, ya Chacha Wangwe pia ameyaongea na hakuna anayethubutu kumpeleka mahakamani kwani serikali inahofia kuumbuka na wananchi kuujua zaidi ukweli.Siku mkijua ukweli mta tahayari sana,
Magufuli alikuwa na hasira za karibu lakini alikuwa mwepesi kusamehe.
Magufuli huyuhuyu alikuwa ni mtu mwenye mental disorders yaani Mimi naweza kupiga mtu ila akajigamba yeye.
Tukio la kukoswa koswa Lissu lilifanywa na upinzani.
Hata Ben saanane waulizwe upinzani.
Alfonce Mawazo waulizwe upinzani
Ili kuing'oa CCM madarakani kunatakiwa matambiko na damu za watu zimwagike ili tu kutengeneza mtaji wa kisiasa.
Siyasemi ya Chacha Wangwe kwasababu haya wengi wanayajua.
Ili ukubalike na watu milioni kumi kwenye bongo na fikira zao siyo suala dogo eti kisa umesoma Political science jidanganye.
Natamani Lissu ashinde uenyekiti wa chama lakini hawezi kwasababu yeye ni mlaini kama tikiti.
Kisu kikitua kwenye tikiti,linaumia tikiti
Vilevile tikiti likijigamba eti liende Kwa force likatue kilipo kisu,litaumia tikiti tu.
Siasa ni mchezo mchafu sihitaji kizazi changu kijihusishe na huu uharamu
Mzee mbona kama umedata? Umewahi kusikia Melo analalamika Server zinajaa?Kwa hiyo sasa mnatakaje nendeni mkafufue mzimu wa magufuli muulipishe kwa yote uliyofanya
Au ndo mnaleta mada za kupoteza mda uchaguzi uwahi kufika?
Vipi sativa alitekwa na magu?
Vipi tarimo magu ndo alituma watu wakamteke
Na vipi kuhusu nondo?
Hebu mtuletee ushahidi haraka kwamba ni nani aliyetoa amri kuhusu hawa watu maana serikali yote iko madarakani msije baadae mkaanza kujaza servers za JF kusemq sijui blah blah baada ya serikali iliyopo kupita.
Mzee mbona kama umedata? Umewahi kusikia Melo analalamika Server zinajaa?Kwa hiyo sasa mnatakaje nendeni mkafufue mzimu wa magufuli muulipishe kwa yote uliyofanya
Au ndo mnaleta mada za kupoteza mda uchaguzi uwahi kufika?
Vipi sativa alitekwa na magu?
Vipi tarimo magu ndo alituma watu wakamteke
Na vipi kuhusu nondo?
Hebu mtuletee ushahidi haraka kwamba ni nani aliyetoa amri kuhusu hawa watu maana serikali yote iko madarakani msije baadae mkaanza kujaza servers za JF kusemq sijui blah blah baada ya serikali iliyopo kupita.
Naunga mkono hoja
EK ni mwandishi wa IJ, amefanya IJ yake akaandika kitabu, unless kama unakijua kilichompata Ben Saanane, huna moral authority kumkosoa EK!. Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?
P
Asante.EK= Erick Kabendera
IJ= Investigative Journalism
Nje ya mada: Pasco mwaka huu hutapata kura moja ubunge kura za maoni, utapata nyingi.