Lipi?Kabendera kaandika hili!?
Wanaweza kuja kuhangaika na wewe mlipa kodi kisa umemsema marehemu vibayaMada kama hizi inabidi unachangia huku unapiga breki za kutosha
La kwenda na mapajama kutaka kumbaka kizimkaziLipi?
Naam. Soma kitabu.La kwenda na mapajama kutaka kumbaka kizimkazi
How to join club house?Clubhouse wanakisoma kila siku chapter moja. Leo wameanza chapter ya kwanza, kesho ya pili.
Ila ile kampani ya wapima samaki kwa rula haiaminikiGo figure!
Na ya kumbaka Samia je? This shit is beyond comical.
Unajua mtu ukiwa unamchukia, pale usikiapo habari yoyote ile iliyo mbaya inayomhusu, unakuwa more inclined kuiamini kwa sababu hisia zako zinakuwa clouded na hatred uliyonayo dhidi yake.
Eti Magufuli alienda nyumbani kwa Samia kavaa pajama 🤣 akala mzigo kwa nguvu.
Ndo level zetu hizi Watanzania. Wanaohoji ni wachache na wanaoamini [bila ushahidi wowote] ni wengi kuliko.
So dumb.
Duh!!!..nafikiria mengi, ikiwemo tohara kanda ya ziwa,kama kweli mzenji macho yalimtoka,nijuavyo wasukuma hawajui kuomba,hapo alitoa kabisa 'bunduki'Naam. Soma kitabu.
Simjui huyo Ben mimi zaidi ya hapa JF.Nina swali moja dogo kwako, Ben Saanane amepotea kweli au uongo?.
Unajua kilimtokea nini?.
EK ni mwandishi wa IJ, amefanya IJ yake akaandika kitabu, unless kama unakijua kilichompata Ben Saanane, huna moral authority kumkosoa EK!. Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?
P
Download Clubhouse kutoka Apple Store or Google Play and follow instructions.How to join club house?
Kama ulikuwepo vilee 😂😂😂Duh!!!..nafikiria mengi, ikiwemo tohara kanda ya ziwa,kama kweli mzenji macho yalimtoka,nijuavyo wasukuma hawajui kuomba,hapo alitoa kabisa 'bunduki'
Hizi takataka sijui mnazitoa wapi?wtz wengi mnamatatizo ya akiliNyie ndiyo vichaa msioweza kutumia vichwa na akili zenu kwa usahihi kuchakata kila taarifa inayokuja mbele yenu, badala yake kama mbwa waoga mnajiwahi na kuanzs kubweka hovyo kwa kujenga utetezi wa hoja zisizo na kichwa ili kulinda tabia za kikatili za viongozi wajinga na wapumbavu, wauaji kama alivyokuwa Mwendazake Magufuli...
Labda tusiwalaumu sana maana, possibly huo ndiyo mwisho wa mstari wa akili na tafakuri zenu zilipoishia..
Lakini fahamu kuwa, hiyo roho yake ya kutesa na kuua raia wake, kaiacha na kuwarithisha warithi wake kina Samia Suluhu Hassan na ndiyo inayosumbua sasa kwa mtindo uleule wa teka, tesa na ikilazimu ua...
Historia duniani kote ya viongozi (Marais au Wafalme wa nchi/mataifa) waliokuwa na chuki na wapinzani/wapingaji/wakosoaji wa tawala/serikali zao walizoziongoza kumbukumbu ya historia ya tawala zao/uongozi wao wa kikatili ukiambatana na mauaji ya kutisha, imerekodiwa vizuri sana...
Kwa kifupi sana mimi naweza kusema kuwa, wapo viongozi duniani kote walio na sura za kibinadamu lakini ndani ni shetani mwenyewe mnywa damu za watu...
Hawa walitumia aidha mikono yao binafsi kuua au walikuwa na vikosi binafsi vya utesaji na mauaji vya siri walivyoviunda nje ya utaratibu wa kikatiba na sheria. Na wakati mwingine njia zote mbili hizi zilitumika....
Mfano ni dikteta Iddi Amini Dada (aliyekuwa Rais Uganda miaka 1970s), Mobutu Seseseko Wazembanga (iliyokuwa Zaire sasa DR Congo), Adolf Hitler (West Germany), Benito Mussolini (Italy) na wengine wengi waliua wapinzani kwa mikono yao...
Mpaka hapo hivi unaonaje ajabu kama kuna watu wanaanza kushuhudia leo kuwa Hayati John P. Magufuli aliua wakosoaji wa utawala wake kwa mikono yake mwenyewe...?
All the way back, ni kuwa, ushahidi wa kimazingira unaoelekea kuthibitisha madai haya ya ndugu Kabendera Erick kwa zaidi ya 85% ni mkubwa mno....
Kuna ndugu humu anaitwa Synthesizer ameeleza na kufafanua vizuri mno. Kama hizi hoja haziwatafakirishi nyie wawili na baadhi ya wenzenu wengi humu, basi, haina shaka yoyote kuwa nyie wawili na wenzenu wengi humu mlikuwa washiriki wa unyama na mauaji haya au la basi hamuwezi kutumia akili zenu vyema kuchakata na kuhoji kila ishu inayowazunguka katika maisha ya intelligence yenu...
Mfano rahisi tu unaoweza kumfanya mtu asifikirie hata mara mbili kuyatilia maanani madai haya ya Erick Kabendera ni tabia ya Rais Magufuli iliyokuwa inajidhihirishwa na kauli na matendo yake wakati wa utawala wake....
Ni Rais aliyekuwa hajali taratibu, sheria, kanuni na katiba ya nchi. Ni Rais aliyekuwa ana - abuse (kutumia vibaya) madaraka na mamlaka yake ya u - Rais kiasi cha kuwa dikteta aliyejificha kanisani kwa kuvaa ngozi ya kondoo...
Ujasiri wake huu wa kuvunja katiba na kutoheshimu utu wa watu wengine ni tabia za kiongozi katili na muuaji siku zote...
Ndiyo maana wenzake serikalini waliamua kumuua kabla hajawaua wao🤔🤔🤔.. NDIYO....!! Unashangaa nini sasa..???
Na ndiyo maana mimi siku zote nimekuwa nasema hivi👇🏻👇🏻
Huyu jamaa (mwendazake Magufuli, Rais wa nchi mwenye resources zote za kupata matibabu popote duniani kwa daktari bingwa wa ugonjwa wake) alikufaga kifo cha kijinga , kipumbavu na kizembe sana kwa sababu alikuwa anachukiwa na watu ambao obvious alikuwa anawahesabia siku zao naye awapige risasi kama alivyoua wengine...!!
Ilikuwa ngumu mno kwa watu wenye akili na ufahamu uliokamilika kuelewa na kuamini kuwa Rais wa nchi angeweza kufia kwenye Zahanati (kituo cha afya) cha Mzena pale mitaa ya Mikocheni?Upanga - DSM...!!!
Tumie vyema akili zenu kufikiri, acheni kufyatuka hovyo mbele ya umma wa watu wenye akili kuwazidi. Mtaaibika bure...!
Asante sana, najaribu inaniambia error, ngoja niwashe VPN.Download Clubhouse kutoka Apple Store or Google Play and follow instructions.
Ukiwa Tanzania utahitaji ku download na kutunia VPN kabla ya kutumia Clubhouse kwa sababu serikali ya Tanzania imeiminya Clubhouse Tanzania
Shetani unategemea aone na kusema nini kwani..?Hizi takataka sijui mnazitoa wapi?wtz wengi mnamatatizo ya akili
Unafikiri bastola aliyokuwa anatembea nayo kiunoni ilikua ya kuwindia ndege?!Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
Ingekuwa vema Kabendera apelekwe mahakamani kwa kosa la kumchafua shujaa wenu.Umeandika ujinga wa kiwango Cha PhD. Walewale wajinga kama akina kabendera. Nilitegemea uweke ushahidi hapo kumbe porojo za kijinga tu. Nyie mashetani kama wewe Huwa mnazaliwa wapi na akina nani? Shetani mkubwa na ujinga wako kufa haraka tupunguze mashetani nchini.
Well hakuna shida Mungu wetu sote. Niswala la Muda sasa nauwelewa utabiri wa GwajimaSawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Je marais wa Tz wanatuuwa watu wao Mungu aingilie katiSwali la kujiuliza ni moja Tu
Je Ben saa nane alikuwa na madhara makubwa Kwa serikali?
Je beni saa nane angeweza kupindua utawala wa magufuli?
Je Ben saa nane alikuwa na madhara yoyote Kwa Rais Personal?
If not then Magu hawez kumuua Kwa kumpiga risasi trust me
Kabendera ana history mbovu na magufuli so anaweza kusema anything
Ila nitakuwa wa mwisho kuamini magu alimshoot Ben saa nane
Akiripoti kutoka Kizimkazi,huyu ni chawa wa kijani.Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu