Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Hawajambo huko kuzimu??
 
Serikali nyingi zimeua watu..tofauti zao ni ndogo
 
Mkuu, are you, too, falling for this cheap personal attack?
 
Muongo mkubwa wote wanaopiga watoto na wake zao hawana akili?
 
We una faida gani kwanini usitangulie kufa
 
Mkuu, are you, too, falling for this cheap personal attack?
Why and how do you even begin to draw that logical non sequitur?

Watanzania kwa nini mnakuwa mabingwa wa kusoma kisichoandikwa huku mkikiacha kilichoandikwa?

Nimesema hivii, kuna tuhuma, kama tuhuma ni za uongo, aliyetoa tuhuma ashitakiwe, tupate nafasi ya kusikia watu wakitoa ushahidi mahakamani chini ya kiapo, wakidanganya wawe na kosa la perjury.

Sasa hapo utasemaje I'm falling for anything other than stressing the importance of veracity?

Mimi sitaki mabishano yasiyo na structure mitandaoni.

Nataka mashitaka mahakamani, kwenye rules of evidence, ambako witnesses wanapoweza kuwa subpoenaed kutoa ushahidi, under oath.

Tujue mbivu na mbichi.

What's wrong with that?
 
Kuna watu damu zao sio za kuchezea, damu ya Ben haikuwa nyepesi kama alivyoonekana yeye Ben mwenyewe.
 
Well, “Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki…” Could you possibly be one of them?

Kama shida yako ni kujua mbinu na mbichi, kwa nini wewe usifanye hivyo?
 
Upo sahihi kabisa katika hili
 
ulichokitabu mkuu huwezi nisaidia nikakipata maana naona kuna meeng
 
Nzito au umeamua kuipa uzito?
Ad-hominem logical fallacy
Jibu hoja, usijibu hisia zangu kuhusiana na hoja.

Badala ya kuniuliza kwanini nimeipa uzito hoja, jenga hoja za kuonyesha kwamba hili sio swala la mimi kulipa uzito.

Mfano unaweza sema kwa mtizamo wangu nauona huu uchambuzi sio mzito kama ulivyodai kwasababu A,B,C...
 
Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.
Wewe ndo unaepaswa kuwahishwa hospitali haraka.

Hakuna lolote la uongo alilosema Kabendera
 



Magu kutaka kumuua Lissu ni Hear says Tu

Mara Magu mara makonda mara Nani sijui

Do you think magu angetaka kumuua Lissu angemkosa?

Unajua maana ya Rais kutoa Order?

Wangemfata bungeni na wangempa sumu au anything

Kwani lisu alikuwa anaishi mbinguni?

Si pale block D tena majengo yanalindwa na Askari ambao wanatii Amri ya Rais?

Magu angetaka Lissu Afe then Leo asingekuwepo duniani
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…