Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Anayemshitaki Ni Nani? Gemu imechenji now juu pamekuwa chini. Tunachofanya Ni kuishi na uzalendo wa mzee wetu na kuyaenzi mazuri yote aliyotuachia.

Vita Ni kubwa juu ya wenye haki. We angalia maofisini utaelewa somo tu mzee Wala haina kutumia nguvu nyingi.

Ujue Tanzania kitambo tu kuna hali ya ubara na upwani lkn iliyojificha Sana Sana japo wenye D mbili tunajua haya. Kuna hali ya u pwani kutokutaka kombe kwenda popote zaidi ya hapo licha ya kuwa uwezo wa kazi Ni mdogo Sana lkn janja janja nyingi. Watu wabara huyumbishwa Kama mifugo vile maana hata wakipata kombe hutumia nguvu nyingi kupambana na chuki ya pwani.

Chukulia mfano wa dogo diamond kutoboa jamaa wanajitahidi hata msosi angalau wapake kinyesi kidogo ili mwende sawa.
Chuki unayoiona Kenya kumfanyia fujo kumbuka imetokea Tanzania hapa hapa lkn jamaa kinafiki baada ya zengwe la shoo kubuma wakajifanya eti wanasimaa na Cha nyumbani na kuanza waponda wakenya. Mambo Ni mengi mkuu kiranga na hii inatokana na upwani kupenda kitonga na uvivu wa kazi huku wakitaka maisha ya kishua, pumbavu sana. Hakuna kushitaki lkn subiri taratibu tu mifugo itasanuka.
 
It’s unbelievable! Watu wa aina hii kumbe wapo wengi sana duniani. Hata Trump ananufaika nao sana!
 
Mtahangaika sana mno yeye legacy yake Kwa Masikini wa Tanzania ilishajengwa na haifutiki. Kamwe kamwe asilani...[emoji41]. Ingawa mkewe kaachia na ana Nuru usoni kanenepa anapendeza mdomo wangu koma.... Mbona hakunawiri wakati nanihiii ........ Akiwepo au Kuna kaukwl mdomo koma weeee
 
Magufuli alikuwa katili Kwa Wezi , mafisadi, Wala rushwa , wazembe na vibaraka wao.
 
Mshitakini ama sivyo mmekubali aliyoyasema.ni kweli na mnaogopa mkimshitaki atamwaga zaidi hadharani.

Kasema aliyoandika ni 25% tu kuna mengi zaidi hakuandika kwa sababu yako controversial zaidi.

Mtu kaandika Magufuli kambaka binti yake wa miaka 16 na kumuambukiza HIV, akampiga mpaka kumuua.

Hapo mnashindwa vipi kumshitaki ili msafishe jina la mpendwa wenu kama huu ni uongo.

Mwambieni Janet Magufuli amshitaki tuone kama atakubali.
 
Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
Waoneshe Ben Saanane na Azory Gwanda walipo hawatakusumbua.
 
Unafanya utetezi wa kijinga Samia huwezi mchafua wewe unamfananisha Samia na wachunga ngombe pambaff lione vile
 
Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.
Huwa vyote vinaanzaga kwa kukana kama hivi, lakini mwisho huwa unashangaza. Fikia hili;
1. Magufuli ni mzima wa afya na yupo anchapa kazi -- By PM
 
Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
Hao wengine hawana kinga ya kutoshitakiwa
 
Doohh! This is tough
 
FAR-FETCHED.
Exactly why Kabendera should be sued in court.

Kabendera kaandika mambo kwenye kitabu. This is libelious.

Mshitakini jamani, ama sivyo kuachia maneno haya yasambae ni kuyakubali.
 
Unajuaje kama ameshootiwa? Je kama Yuko jela?
Ndio kama nawew una kitu tofauti na alichoandika kabendera ulipaswa kuandika hapa kuwa yupo jela ama yupo kijijini kwao anawinda kwale,,,,mwenzio ameandika kitabu wew unapinga tuu bila hata kusema unachokijua,,,,,na tunasubiri serikali Yako iyajibie haya usipojibu tutajua nikweli
 

Hakuna mtu anaejua chochote
Kila mtu anaongea Jambo lake

Kama unakumbuka zaman walisema alitupwa Coco beach, Leo kabendera anasema katupwa rufiji sasa which is which
 
Unafanya utetezi wa kijinga Samia huwezi mchafua wewe unamfananisha Samia na wachunga ngombe pambaff lione vile
hahahaaaaa hivi machawa huwa mnalipwa sh ngap? Sishangai pesa zinapofusha na kupotosha ukweli na haki.
 
Nilibadili jina mimi mwenyewe, sio mods
Acha uongo, labda kama walikulazimisha ubadili.
Kunasiku nilikuitajinalako lamwanzo nikapigwa ban, later on wakaona sinahatia kwasababu ulijiita mwenyewe hivyo nikaachwa huru fasta.

R.I.P JPM the hero!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niwasiliane na mods, na na umeanza chokochoko, upigwe ban mpaka baada ya uchaguzi mkuu
 
hahahaaaaa hivi machawa huwa mnalipwa sh ngap? Sishangai pesa zinapofusha na kupotosha ukweli na haki.
Hahah! Hayakosekani majinga ya ndio mzee.
Lkn ukweli maji na mafuta huwezi uchanganya na porojo. Njaa mbaya sana, Kyle kwetu njaa iliyopitiliza tunaita LULIO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…