Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Narudia tena, Magufuli hakuwa sawa kichwani, na kuua mtu kwa risasi pale Ikulu ni profile ambayo ina-fit kabisa utu wake. Hivi kwa nini watu hawataki kukubali alimpa Makonda license to kill? Mtu anaefanya hivyo atashindwa kumpiga mkosoaji wake mkubwa risasi ya kichwa? Tundu Lisu je? Mnafikiri nani aliamrisha auwawe? Magufuli alikuwa na chuki dhidi ya wapinzani inayokaribia ukichaa. Muulizeni Mwigulu Nchemba aliambiwa nini na Magufuli kabla hata taarifa ya Lisu kupigwa risasi haijavuma. Mwigulu anaambiwa itisha press conference utangaze serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Lisu - Mwigulu akagoma, akapoteza uwaziri!
 
Kuwa na hivyo vyeo hakumuondolei mtu natural instincts zake/tabia za ndani jinsi alivyo.Ni kama kuvaa kapelo kuficha komwe/kipara ngoto tu.
NB:Nature is neither created nor destroyed,remember?
 
Kumbe Jamaa alikuwa katili ,kwamba Mke wake alikuwa anavumilia mengi 😆😆
 
Siku mkijua ukweli mta tahayari sana,

Magufuli alikuwa na hasira za karibu lakini alikuwa mwepesi kusamehe.

Magufuli huyuhuyu alikuwa ni mtu mwenye mental disorders yaani Mimi naweza kupiga mtu ila akajigamba yeye.

Tukio la kukoswa koswa Lissu lilifanywa na upinzani.

Hata Ben saanane waulizwe upinzani.

Alfonce Mawazo waulizwe upinzani

Ili kuing'oa CCM madarakani kunatakiwa matambiko na damu za watu zimwagike ili tu kutengeneza mtaji wa kisiasa.

Siyasemi ya Chacha Wangwe kwasababu haya wengi wanayajua.

Ili ukubalike na watu milioni kumi kwenye bongo na fikira zao siyo suala dogo eti kisa umesoma Political science jidanganye.

Natamani Lissu ashinde uenyekiti wa chama lakini hawezi kwasababu yeye ni mlaini kama tikiti.

Kisu kikitua kwenye tikiti,linaumia tikiti

Vilevile tikiti likijigamba eti liende Kwa force likatue kilipo kisu,litaumia tikiti tu.

Siasa ni mchezo mchafu sihitaji kizazi changu kijihusishe na huu uharamu
 
Magufuli alishakwenda zake forever !
Zungumzia waliopo hai kama unazijua habari zao !
Yule Mwamba alishakwenda aliyoyafanya atalipwa huko huko aliko kama vile wewe na mimi na mwingine yeyote yule tukishazanzuka tutakwenda kulipwa kwa yale tuliyotenda. !
Legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwepo tu kwa sababu tunaiona !
Yale ambayo hayajathibitishwa yatabaki kuwa ni uzushi tu mpaka itakapo thibitishwa vinginevyo !

Au nasema uongo ndugu zanguni ????!
 
ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera📌🔨
 
Jiwe alikuwa shetani katika maumbile ya binadamu.
 
Upuuzi mtupu! Tangu samia aingie madarakani kuna watu wako bize kumchafua magufuli. Nani asiejua kuna mpasuko ndani ya ccm? Hivi imekaribia uchaguzi wameanza kuibua maswala ya magufuli inawasaidia nini? Mbona mnasema ya hayati na ya aliehai hamyasemi? Magufuli ameshafariki hata mkisema hatakuja kuwajibu. Tuambieni ya samia akajibu tuhuma zake. Taja ya wamasai kufukuzwa, kuuza bandari na mikataba mingine ili samia ajibu maana yupo. Atueleze utekaji na matukio mengine. Unasema ya magufuli ambae hawezi kurudi kukanusha au kukubali kama ameyatenda au anasingiziwa? Nadhan mnayo mengine mabaya ya kusema juu ya magufuli yasemeni sasa wakati ndio huu. Propaganda za kumchafua hayati kama zinawasaidia endeleeni lakin sisi hatuoni mnachofanya.
 
Hili
Hili j
H
Hili jambo nililiota, acha kabisa!!! Sema ndio hivyo ilikuwa ni ndoto tu!!!
 
Je umesikiliza maelezo ya Lissu kuhusu kutishiwa kwa Ben Saanane?
 
Kuwa na hivyo vyeo hakumuondolei mtu natural instincts zake/tabia za ndani jinsi alivyo.Ni kama kuvaa kapelo kuficha k9mwe/kipara ngoto tu.
NB:Nature is neither created nor destroyed,remember?

haujajibu nilichouliza, kwamba unaamini kabisa USA, EU, Kanada &co. Magufuli ampige risasi mtu live Ikulu wasiseme chochote?
 
haujajibu nilichouliza, kwamba unaamini kabisa USA, EU, Kanada &co. Magufuli ampige risasi mtu live Ikulu wasiseme chochote?
Nini kinachokukataza usikubali kwa mtu ambaye alijitangaza ni lunatic na ana vyeti(classified lunatic) vya Milembe Hotels upande wa suite?
 
Psychoanalysis ya Sigmund Freud au ya kwako wewe?
Ni hivi, wewe ni aina ya mtu kama ungeolewa, na mume wako akakupiga kila siku, ungekuwa unamuomba msamaha kwa kumfanya akasirike hadi akupige. Sasa mtu kama wewe utasaidiwaje? Kwa kukuambia mume wako ni kichaa? Huwezi kukubali hilo hata siku moja, na tutasubiri mue akuue tu, ndio mwisho wako
 
Yeye kaandka hivyo na wewe lete taarifa Mahalia aliko ndipo watu aamini kuwa hakuhusika, maana na wew unabisha bila kuweka ushahidi. Tuambie Yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…