Katika harakati za kugombea ubunge, pia ana tuhuma za kumuwekea sumu mmoja ya wagombea ambaye alikuwa na cheo kikubwa pale ginnery ya chato, jamaa figo zikafeli.
Ikabidi jamaa akaanza process ya kutibiwa, akapata nafasi ya kwenda India. Ila kila muda wa safari ukifika, jalada la hospitali linapotea, wenzake wanaenda India. Suspect, JP ndiye alikuwa ana-influence ili jamaa afe, yeye abaki na ubunge
JK alipopata taarifa, akaingilia kati ndipo jamaa akaenda kutibiwa.
Kuwachapa viboko dada zake ilikuwa kawaida.
Kuna stori ya mdogo wake anaitwa Goro ambaye alitoa coaster ya hotel ili isaidie kusafirisha maiti pale pale Chato mjini. Wako njiani JP akapiga simu, anamwambia washushe hapohapo kwa kuwa ametoa gari bila ruhusa yake. Ikawa tafrani. Dogo akagoma kushusha maiti barabarani. Wakawa maadui wa kutupwa.