Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

nigga pleasee, Magufuli ampige mtu risasi live tena ikulu halafu ndio ije kujulikana leo? maadui wote hao wasiseme tu? come on man, you are better than that …
Zilisambaa kama tetesi kipindi cha JPM, Kabendera kazirasimisha.
 
Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu
Jenga tabia ya kuvumilia ukweli, magufuli alikuwa kiongozi muovu. Alichoandika Kabendera ni ukweli wa wazi, na hakuna chombo chochote cha humu ndani kitakubali hilo liwe wazi maana karibia wote ni wafaidika wa uovu wa magufuli.
 
Hakuna mahali popote unalazimishwa kuukubali ukweli wa Kabendera, lakini habari ndio hiyo.
 
Nakubaliana na hoja hiyo. Ushahidi mwingine ni alivyopigwa risasi Tundu Lisu, wale wote walioshiriki katika kuokoa maisha yake walipigwa chini.
Kuanzia RC wa Dodoma kipindi kile ambaye aliruhusu ndege iliyombeba Tundu Lissu kuondoka.
Pia akaondolewa Mpoki Ulisubisya
 
Thread closed....
 
Je umesikiliza maelezo ya Lissu kuhusu kutishiwa kwa Ben Saanane?

Kila mwanasiasa wa upinzani lazima awe na kauli ya kutishiwa

Wote wakina mbowe mnyika mdee wote hao waliwahi kuongea kauli kama hiyo
 
Mimi sina ushahidi ila kwa hulka za Jiwe nilizozijua kabla hata hajawa Rais, hayo mambo yanawezekana. Muulizeni mama Janeth alibebeshwa kokoto
Kuna mambo kama yalitokea yupo sahihi.
Umeambiwa kaa ndani kokoto zikija fungua geti, wewe unatoka, kokoto zinakuja zinamwagwa nje sababu haupo, nani aingize ndani?
 
Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
Sasa unakuta aliamuru aletwe tu amhoji kiuanamume kwanini unaniandama na phd yangu kijana. Lkn kijana kwakua ana damu ya Mandela akakaza, Kama risasi iko kibindoni ni rahisi sana kuua kwa mtu wa aina ya jiwe.
 
M
Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu
Mbona unakua mkali Sheikh? Ukweli utajulikana tu
 
Wamekuambia hawajui
 
Nadhani hhuelewi haya mambo. Jumuia ya Kimataifa pamoja na kujua mauaji ya Makonda, zaidi ya kumzuia kwenda USA, ilifanya nini? Mboka Putin alikuwa anaua, amefanywa nini? Kim Ill wa North Korea?

siyo swala la kufanywa nini, bali wangesema live, Putin akiuwa kama unavyosema wanasema kila mahali, kwangu mimi ni ngumu kuamini kwamba USA na secret agancies zote ndani ya na nje ya tanzagiza raisi wa JMTZ aue mtu kwa kumpiga risasi halafu wasiseme chochote kile miaka 3 baadaye aibuke sijui bendera ndiyo ajue? ukichukulia Magufuli hakuiva na USA mpaka dakika za mwisho na walimuongelea vibaya kila mahali, hata tundu lisu alihojiwa bbc hardtalk aliongea mengi pamoja na kumtuhumu Magufuli kuhusika na upigwaji wake risasi lkn hakusema chochote kuhusu Magufuli kumpiga risasi mtu ikulu, tundu lisu alibanwa sana na aliyemuhoji lkn hakusema chochote, why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…