Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Hizi habari nyingine zinahitaji busara sana kuchangia, bora kupita kama msomaji tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
kwa hiyo unaamini kabisa raisi wa JMTZ ampige mtu risasi live ikulu halafu international community yote ikae kimya? kama tu maandamano balozi zote za kizungu huandika kwenye websites zao iwe kupigwa mtu risasi tena raisi wasiyempenda live ? nafikiri labda ni full moon leo, au haujakula vizuri na kushiba labda ? au thinking us hard for you?
Mwezi mchanga ata mimi nimeona hivo

Yaani kuuwa mtu live wanachukulia kama kuchinja kuki sijui 😂😂
 
Jenga tabia ya kuvumilia ukweli, magufuli alikuwa kiongozi muovu. Alichoandika Kabendera ni ukweli wa wazi, na hakuna chombo chochote cha humu ndani kitakubali hilo liwe wazi maana karibia wote ni wafaidika wa uovu wa magufuli.
Hatuwezi kuvumilia uongo na ulipizaji visasi na kuzusha madai bila ushahidi. Kesho, ataibuka mwingine na utopolo kama huu. Sheria iko wazi kuwa anayedai lazima athibitishe. Ni rahisi na wazi hivyo mwanangu.
 
Vyovyote vile itakavyosemwa, kuna mtu fulani alihusika kumtoa uhai ben saa8 , huyo mtu haijalishi alikua na cheo gani, na kwamba alitoa amri au alifanya kwa mkono wake mwenyewe , kiwango cha ukatlili ni hicho hicho.
 
naona kuna kizazi kuwadi siasani kinachomoza ni vyema kikashushwa bega kabla hakijakomaa
 
U
Some people will say good riddance! You don't want to have psycho people like him for country president
meanza tena Jingereza 😱😳
Likaji lulu bhabehi = kazi kweli kweli. 🤣🤣🤣 Duh! Imekuwa lugha gongana sasa. 😄😂 !
 
Acheni kututoa kwenye mjadala wa kitaifa...
21st January.

Hizi nonsense nendeni nazo huko vijiweni. Matako yenu
 
Basi wewe malaika utuambie Ben yupo wapi? Na nini kilimpata? Kama hujui halafu unabisha inawezekana wewe ndo kubwa la mashetani lenyewe
 
Imefika mahali kwamba mtu anakubali lolote linalosemwa kuhusu Magufuli kisa tu alikuwa anamjua Magufuli jinsi alivyo, inawezekana Magufuli alikuwa na matatizo ya akili kama inavyodaiwa ila kwa hali hivyo sasa ni kana kwamba kaondoka ila kaliacha hilo tatizo kwa wengine wanapitia hilo tatizo kwa namna yao ya tofauti.
 
Nilishangaa sana siku Magufuli alipojitokeza wazi na kuutangazia umma kuwa yeye anamiliki pisto 2, na akaenda kuziandikisha polisi baada ya tangazo la waziri wa mambo ya ndani, halafu yeye akaona ni ufahari.

Kusema kuwa marehemu kuna wakati akili yake ilikuwa inakuwa sivyo, yeye mwenyewe aliwahi kusema, mke wake aliwahi kusema, na watu wa juu ndani ya TISS waliwahi kusema. Kwa hiyo haishangazi kama alifanya hivyo. Mgonjwa wa akili anaweza kufanya hata yasiyoweza kufikirika.

RIP Ben Sanane.
kama inasemekana hivyo na kwamba alikuwa ni mgonjwa wa Akili hapo akifanya lolote baya huyo mgonjwa wa kulaumiwa anakuwa NANI ???!
Atashitakiwa mgonjwa au wale wanaomuangalia mgonjwa ??!
 
Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki akatetee maneno yake mahakamani, mashahidi pia waitwe mahakamani kuhojiwa chini ya kiapo at the possible penalty of perjury.

Kwa mfano, Kabendera kasema Magufuli alikwenda kwa Samia na pajama akitaka kumbaka, Samia mpaka akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Samia aitwe mahakamani kuhojiwa kuhusu suala hili.
Mkuu, kuna softcopy ya hicho kitabu?
 
Kwa hiyo sasa mnatakaje nendeni mkafufue mzimu wa magufuli muulipishe kwa yote uliyofanya

Au ndo mnaleta mada za kupoteza mda uchaguzi uwahi kufika?

Vipi sativa alitekwa na magu?
Vipi tarimo magu ndo alituma watu wakamteke
Na vipi kuhusu nondo?

Hebu mtuletee ushahidi haraka kwamba ni nani aliyetoa amri kuhusu hawa watu maana serikali yote iko madarakani msije baadae mkaanza kujaza servers za JF kusemq sijui blah blah baada ya serikali iliyopo kupita.
 
Back
Top Bottom