Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Siyo ukali mwanangu. Tunatata ushahidi kuntu. Haya siyo madai ya kawaida.M
Mbona unakua mkali Sheikh? Ukweli utajulikana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo ukali mwanangu. Tunatata ushahidi kuntu. Haya siyo madai ya kawaida.M
Mbona unakua mkali Sheikh? Ukweli utajulikana tu
Nakubaliana na wewe.Hizi habari nyingine zinahitaji busara sana kuchangia, bora kupita kama msomaji tu
Mwezi mchanga ata mimi nimeona hivokwa hiyo unaamini kabisa raisi wa JMTZ ampige mtu risasi live ikulu halafu international community yote ikae kimya? kama tu maandamano balozi zote za kizungu huandika kwenye websites zao iwe kupigwa mtu risasi tena raisi wasiyempenda live ? nafikiri labda ni full moon leo, au haujakula vizuri na kushiba labda ? au thinking us hard for you?
Hatuwezi kuvumilia uongo na ulipizaji visasi na kuzusha madai bila ushahidi. Kesho, ataibuka mwingine na utopolo kama huu. Sheria iko wazi kuwa anayedai lazima athibitishe. Ni rahisi na wazi hivyo mwanangu.Jenga tabia ya kuvumilia ukweli, magufuli alikuwa kiongozi muovu. Alichoandika Kabendera ni ukweli wa wazi, na hakuna chombo chochote cha humu ndani kitakubali hilo liwe wazi maana karibia wote ni wafaidika wa uovu wa magufuli.
Ndiyo maana tunaataka ushahidi ili ukweli ujulikane bila kuoneana wala kupakaziana na kusingiziana mwanangu.Ajitete kwa nani? unajuaje mleta mada kama siyo kabendera?
meanza tena Jingereza 😱😳Some people will say good riddance! You don't want to have psycho people like him for country president
Hujui kitu tuliaWe nawe umeandika makorokocho gani sijui, umekunywa komoni?
kama inasemekana hivyo na kwamba alikuwa ni mgonjwa wa Akili hapo akifanya lolote baya huyo mgonjwa wa kulaumiwa anakuwa NANI ???!Nilishangaa sana siku Magufuli alipojitokeza wazi na kuutangazia umma kuwa yeye anamiliki pisto 2, na akaenda kuziandikisha polisi baada ya tangazo la waziri wa mambo ya ndani, halafu yeye akaona ni ufahari.
Kusema kuwa marehemu kuna wakati akili yake ilikuwa inakuwa sivyo, yeye mwenyewe aliwahi kusema, mke wake aliwahi kusema, na watu wa juu ndani ya TISS waliwahi kusema. Kwa hiyo haishangazi kama alifanya hivyo. Mgonjwa wa akili anaweza kufanya hata yasiyoweza kufikirika.
RIP Ben Sanane.
Unaona eeh, huu hapa wa kwako ni mtazamo wa mtu alie sawa kichwani. Sasa hapo ndipo unatofautiana na Magufuli.Mwezi mchanga ata mimi nimeona hivo
Yaani kuuwa mtu live wanachukulia kama kuchinja kuki sijui 😂😂
Who died first ,Ben or Magufuli?how Magufuli? he is dead …
Mkuu, kuna softcopy ya hicho kitabu?Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki akatetee maneno yake mahakamani, mashahidi pia waitwe mahakamani kuhojiwa chini ya kiapo at the possible penalty of perjury.
Kwa mfano, Kabendera kasema Magufuli alikwenda kwa Samia na pajama akitaka kumbaka, Samia mpaka akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Samia aitwe mahakamani kuhojiwa kuhusu suala hili.
Ni kweli siwezi elewa na hata sheria sijui, lakini ninachofahamu tuhuma zozote lazima ziwe na ushahidi, je ushahidi wenu wewe na kabendera juu ya tuhuma hizi ni upi?Huwezi kuelewa, hii inaitwa psychoanalysis, huijui