Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Hatuwezi kuvumilia uongo na ulipizaji visasi na kuzusha madai bila ushahidi. Kesho, ataibuka mwingine na utopolo kama huu. Sheria iko wazi kuwa anayedai lazima athibitishe. Ni rahisi na wazi hivyo mwanangu.
Serikali haipo hapa kuchunguza nani kasema uongo adaiwe ukweli mahakamani. Kama unaona Kabendera hajasema ukweli nenda mahakamani kamfungulie kesi kama mtu mwenye interests na Magufuli. Ila kumbuka, wewe unaeshitaki ndio una jukumu la kuonyesha Ben Saanane yuko hai hakuuawa na Magufuli, ili uthibitishe Kabendera kasema uongo. Na ukishindwa kesi utalipia gharama za kesi za Kabendera.
 
kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu;
Umenikumbusha ule msiba wa Mtoto wake, mnakumbuka ilisemekana kuwa alikufa kwa kipigo? Wakasema ni malaria! Duh
 
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.

Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!

Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
  • ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
  • kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
  • Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
  • kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
  • kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
  • kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye kuchukia wapinzani kama Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
  • kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
  • kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
  • kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli.
Takataka...

Ni jayo tu!!
 
Kwa hiyo sasa mnatakaje nendeni mkafufue mzimu wa magufuli muulipishe kwa yote uliyofanya

Au ndo mnaleta mada za kupoteza mda uchaguzi uwahi kufika?

Vipi sativa alitekwa na magu?
Vipi tarimo magu ndo alituma watu wakamteke
Na vipi kuhusu nondo?

Hebu mtuletee ushahidi haraka kwamba ni nani aliyetoa amri kuhusu hawa watu maana serikali yote iko madarakani msije baadae mkaanza kujaza servers za JF kusemq sijui blah blah baada ya serikali iliyopo kupita.
Sio kila jambo linahitaji kuletewa ushahidi. Kwa mfano wewe, una ushahidi gani kwamba baba yako ndie kweli baba yako? Kuna siku umewahi kumhoji mama yako na kudai ushahidi? Kama hapana, kwa nini hujafanya hivyo?

Sasa tumeshasema, Kabendera kaandika Magufuli alimuua Ben Saanane. Kama unapinga basi andika kitabu uweke ushahidi kwamba Ben Saanane haukuuwawa na Magufuli
 
Kwahiyo na soka naye anaweza kuwa kafanyiwa hivyo hivyo😓😓
Kuna jamaa huko kasema 90% ya taharifa za utekaji na mauaji ni za uongo 🤣🤣🤣 akifikiri ndio kamaliza kuitetea serikali.

Swali ni Je!!? HIZO ASILIMIA 10% ZA TAARIFA HIZO NI ZA KWELI!!? AU ALITAKA KUTHIBITISHA NINI!!?

KAPULIZA AKIWA NA LENGO LA KUZIMA, MATOKEO YAKE KAKOLEZA

Sijui hua hawasomi presentation zao kabla hawaja zi announce au hua hamna washauri wa kupitia report zao
 
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.

Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!

Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
  • ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
  • kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
  • Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
  • kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
  • kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
  • kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye kuchukia wapinzani kama Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
  • kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
  • kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
  • kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli.
Hamna hoja hapa.
 
Wakati magufuli anampiga mke wake ulikua nae?wakati anapiga watoto wake ulikuepo???hakua mkamilifu ila kuchafua legacy yake haitatosha,huyu mwamba ana legacy nzuri kwa taifa hili,alifanya alivyojaaliwa kufanya,aliwaamiisha africa tunaweza.ilikua magufulisation of africa hukuona?ona sasa mali,niger na burkina fapo wamejimagufuli mambo yanaenda.kwahio magufuli na huyu mama yako tukiweka kwenye minzani si utainama upande mmoja.muache mwamba amelala alifanya alichofanya kwan vp
 
Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu
Unajuaje kama alieandika huu uzi sio kabendera
 
Mwandishi au mleta hoja huwa naheshimu maandishi yake sana. Lakini kwa hili, ni hisia zaidi na personal attack kwa JPM, kwamba alikuwa anampiga mke wake, kuna RB yoyote polisi? Au ndiyo hisia tu! Au hoja za kumchapa mwanae alieshindwa mtihani, mbona hata sisi tulichapwa sana na wazazi wetu, na hata walimu tu shule tulizosoma, na leo tunawashukuru.

Kabendera, angelisema kwa mfano, kwa maelezo ya aliyekuwa IGP, CDF wa wakati huo, au mkurugenzi wa Tiss etc, credible sources, wamethibitisha tukio hilo lilitekelezewa Ikulu ya magogoni, kutowataja ni makusudi, alijua angefuatwa.
Kwa namna alivyoliandika ni kama chuki binafsi tu!
 
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.

Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!

Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
  • ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
  • kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
  • Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
  • kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
  • kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
  • kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye kuchukia wapinzani kama Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
  • kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
  • kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
  • kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli.
Kimantiki bado kuna shida katika hii hoja! So many questions remain unanswered. Kwa mfano:
1. Je, hakuwa vizuri kichwani only baada ya kuwa Rais?
2. Kama hakuwa vizuri kichwani hata kabla hajawa Rais, kwanini hakuwahi kupiga risasi watu wengine (katika umri wake wa miaka 60)? Ditopile hakuwa Rais, lakini alimuua driver wa daladala mchana kweupe!
3. Rais anao uwezo wa kumpoteza mtu yeyote kwa kutoa tu maelekezo. What was he trying to accomplish kwa kuamua kumuua yule bwana mdogo kwa mkono wake mwenyewe? Obviously, hakufanya hivyo ili iwe fundisho kwa wengine, kwa sababu umma haukujua juu ya hili. Au alitaka kutoa fundisho kwa victim mwenyewe, which is completely meaningless?
4. Je, kuhojiwa kwa PhD yake kulikuwa more painful kwake (Magufuli) kuliko kuhojiwa kwa legitimacy ya urais wake?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kimantiki bado kuna shida katika hii hoja! So many questions remain unanswered. Kwa mfano:
1. Je, hakuwa vizuri kichwani only baada ya kuwa Rais?
2. Kama hakuwa vizuri kichwani hata kabla hajawa Rais, kwanini hakuwahi kupiga risasi watu wengine (katika umri wake wa miaka 60)? Ditopile hakuwa Rais, lakini alimuua driver wa daladala mchana kweupe!
3. Rais anao uwezo wa kumpoteza mtu yeyote kwa kutoa tu maelekezo. What was he trying to accomplish kwa kuamua kumuua yule bwana mdogo kwa mkono wake mwenyewe? Obviously, hakufanya hivyo ili iwe fundisho kwa wengine, kwa sababu umma haukujua juu ya hili. Au alitaka kutoa fundisho kwa victim mwenyewe, which is completely meaningless?
4. Je, kuhojiwa kwa PhD yake kulikuwa more painful kwa Magufuli kuliko kuhojiwa kwa legitimacy ya urais wake?
Je Kuna Uwezekano Mkubwa kuwa Rais wetu mpendwa Magufuli aliuliwa?

Watu wengi wamesema na wengine kuandika kuwa huenda Rais Aliuliwa ikasingiziwa Corona.

Je tuwaamini bila ushahidi wa namna alivyouliwa?
 
Hawathubutu kwenda mahakamani kwani wanaenda kuvuliwa nguo. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita enzi za mtandao wa Ze Utamu jamaa aliweka pichaduka inayomhusu JK ile picha ilikuwa noma sana na jamaa alisakwa hadi akapatikana na akarudishwa bongo walipanga kumshitaki lakini ikatumika busara wakamtisha tu na kumuamuru aufunge mtandao wake. Wangefungua kesi ina maana ile picha ingeonyeshwa kama kielelezo hivyo ingizidi kusambaa maana ni wachache tulioiona lakini ingekwenda mahakamani ilikuwa kuitangaza. Mtuhumiwa akaufunga Ze Utamu na ikaishia hapo. Sasa hii wajaribu kwenda mahakamani waone madudu mengi yatakavyoibuliwa.
Hadithi tu hizi, hazina ukweli
 
Kwa hiyo sasa mnatakaje nendeni mkafufue mzimu wa magufuli muulipishe kwa yote uliyofanya

Au ndo mnaleta mada za kupoteza mda uchaguzi uwahi kufika?

Vipi sativa alitekwa na magu?
Vipi tarimo magu ndo alituma watu wakamteke
Na vipi kuhusu nondo?

Hebu mtuletee ushahidi haraka kwamba ni nani aliyetoa amri kuhusu hawa watu maana serikali yote iko madarakani msije baadae mkaanza kujaza servers za JF kusemq sijui blah blah baada ya serikali iliyopo kupita.
"kuuwa mtu live"
Ili mtu auawe anatakiwa asiwe live?
May be
 
Back
Top Bottom