Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

AKIKATAA KUA HAKUTAKA KUBAKWA KABENDERA ATASEMAJE? UNAFIKIRI SSH ANAWEZA KUKUBALI UJINGA KAMA HUO ?KABENDELA DISH LIMEYUMBA
Mimi ninachotaka ni watu wahojiwe mahakamani, kwa kutumia standards za kimahakama, chini ya kiapo.

Akikataa, akikubali, sina tatizo mradi maongezi ya mahakamani yatatupa nafasi ya kusikia maneno kutoka kwenye cross examination.

Kwani wapi nilikwambia Samia lazima atakubali.

Kama Samia ataweza kutuonesha kuwa Kabendera ni muongo, hilo litakuwa jambo zuri, tutajua ukweli.

Na hapo ndipo umuhimu wa kumshitaki Kabendera unapokuja, tutapata kusikia upande tofauti na Kabendera ukitolewa mahakamani.

Bila kumshitaki Kabendera hatutapata mazungumzo hayo.
 
Kwahiyo na soka naye anaweza kuwa kafanyiwa hivyo hivyo😓😓
Ile ya Ben saanane ilikuwa ya Magufuli ya soka atahusika mama maana huko mbele tutapata mwandishi mwingine atatueleza kwa namna gani mama alimpiga risasi soka pale ikulu wakati utaongea maana Kabendela ni chombo cha usalama na kinatoa taarifa.
 
Hopeless kabisa.....ila sio mbaya maana jf ni jukwaa huru hata ukiamua kutoa utumbo unatoa tu.
 
Nawe
Nawe chukua fursa hii kuchunguza na kuandika kitabu Cha Hawa waliopotea 2024

Unafikiri kwa sababu unaandika JF ndio unaweza kuandika kila kitu hata usichokijua wala kukifanyia kazi? Uandishi wa uchunguzi una mambo mengi na ya hatari sana.
Usije kuwa umekunywa zako wanzuki unajipa moyo unaweza kuandika. Ni shughuli pevu sana.
 
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.

Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!

Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
  • ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
  • kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
  • Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
  • kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
  • kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
  • kwamba Magufuli alikuwa na chuki kali na vandetta dhidi ya Ben Saanane zaidi ya kukosolewa uongozi, pale Ben Saanae alipokuwa akisema Magufuli alikuwa na PhD fake ya kubangua korosho - ikumbukwe kuna waziri maarufu mstaafu na professor aliuliza hawa mawaziri wanapata wapi muda wa kufanya PhD wakiwa kazini? Ni wazi wanawalipa supervisors au watu wengine wawafanyie PhD
  • kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastola akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastola mkononi. Kuua mtu kwa bastola ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
  • kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; huyu ni Magufuli alifiwa mtoto katika mazingira yenye utata na ikasemwa alikufa kwa malaria, tetesi zikisema alimpiga hadi kumuua; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
  • kwamba Magufuli katika uhai wake akiwa shule alikuwa na tatizo la kuvuta bangi, na tunajua ukivuta bangi mara moja inaweza kukaa kichwani kwa miaka 12, na hatujui alivuta bangi mara ngapi
  • kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
  • kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Kama Kabendera alivyosema, alichoandika kina ushahidi kamili na ameruhusiwa kukiandika baada ya ushahidi uliopo kupitiwa na manguli wa sheria, kama anavyojieleza kuhusu hiki kitabu katika link hii hapa chini

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx

Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
Hizi kwamba zimekuwa nyingi, ni kama stori za koridon…… hakuna solid evidence presented. Hizi story zipo hapa JF way back ….. zimebaki kama udaki. Kitabu cha kabebdera pia hakuna solid evidence

Kuamini hizo story kunahitaji Iman na imani ni personal

Tunahitaji solid evidence
 
Hizi kwamba zimekuwa nyingi, ni kama stori za koridon…… hakuna solid evidence presented. Hizi story zipo hapa JF way back ….. zimebaki kama udaki. Kitabu cha kabebdera pia hakuna solid evidence

Kuamini hizo story kunahitaji Iman na imani ni personal

Tunahitaji solid evidence
Kama unaamini kitabu kama kile kilipaswa kuweka evidence basi wewe sio msomi
 
Back
Top Bottom