Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

Aanze kwanza na puli asikurupukie ndoa

Halafu atuhakikishie usalama wa mb0 zetu kwanza, unaweza ukapigwa shoti ya umeme halafu ikawa shida baadae
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Yeah!

There's no machine/robot that can think on its own currently, including Robot Sophia. Sophia receives software updates day-in day-out. BTW I'm in the field of Automation and co. And, under given requirements I can make another Sophia version of robot but what will I benefit from it? Nothing it can't even assist human tasks just for entertainment
 
Hicho ki kenge kimelishwa maneno hakina uwezo wa kufikiria na akazalisha jambo,haitoshi hicho ki roboti kuwa na fikra kama binadamu wakawadanganye nyumbu huko polini.. swala la kutengeneza kitu chenye uwezo wa kufikiria bila kukulisha fikra hizo ni swala nyeti Sana.
 
duh
 
Sawa,
Pamoja sana mkuu.
Was good to talk to you my fellow programmer.
 
Artificial Intelligences wangekua Kama ulivyowaelezea basi kusingekua na sababu yoyote ya Genius Kama Elon Musk kutoa tahadhari kuhusu hofu yake Juu ya A.I

Actually ulichoelezea ni misleading...

Modern day Artificial intelligences hawaongozi na hard-coded rules ulizozisema

Sio bunch of if else statements

They are complicated networks of artificial neurons zenye uwezo wa kujifunza zenyewe from the Scratch

In fact Zina uwezo wa ku design Algorithm zake bila human intervention
(Refer Alpha Go na Alpha zero)

In fact hata developers wanaotengeneza hizo neural networks hawajui Nini kinaendelea kwenye hidden layers

Hawapo Kama unavyoamini

Halafu hii mentality kuwa Ubongo wa Binadamu ni more complex kuliko A.I si sahihi

A.I anaweza kujifunza kitu kipya ndani ya siku chache ila Wewe unaweza chukua Miaka kujifunza robo ya hicho kitu

Ubongo wa Binadamu ni more complex katika ku perform vitu rahisi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
You had a point but you overtalked.

1)Robot sophia anachoongea na kujibu hakiko scripted kama unavyosema bali analearn kutokana na kile kilichosemwa ndipo algorithms zinacalculate aseme nini

2)Umesema kuhusu neurons kibao za binadam lkn naweza kusema ni useless coz binadam wanaoweza kuutumia uwezo wao wa kifahamu angalau kwa 5% ni wachache ila hizi robot zinaweza utilize uwezo wao effectively.

Mfano, kama unafatilia hii field nadhan unamfahamu robot BINA48 alotengenezwa na haohao hanson robotics mwaka 2010. Huyu aliweza kucomplete kozi ya falsafa na akapata gpa zaidi ya wanadam wengi tu pale


Kitakachotumaliza sio A.I bali ni kushindwa ku-utilize Unique Human Intelligence tulonayo. Trust me, hata kwa level A.I ilipofikia now tukisema itengenezwe community ya robots lazima watuzidi karibu kila kitu coz wanadan sasahv tumekua wavivu sana.

Na ndio maana Visionaries kama Jack Ma wanakomalia zaidi tuinvest kwenye kuboresha UNIQUE HUMAN INTELLIGENCE
 
Mkuu huyu jamaa huenda amesahau au hajaelewa zaidi kuhusu Deep Learning na uhusiano wake na Neural networks kwenye kutengeneza AI robot.
Kwa kuogopa kuchafua mjadala huu na kwakujijuwa mimi sio expert wa haya mambo sikutaka kuweka maelezo zaidi ya hii Deep leaning toka vyanzo mbalimbali.
 
Exactly.....

Na ndio maana zinaitwa hidden layers.

Kwa mtu ambaye yuko kwenye field ya hizi mambo hawezi hata kidogo ku-underestimate A.I na ukizingatia mabeberu kama wote wanainvest mihela mingi sana ili kuikuza, hapohapo bado kuna quantum computers ambazo zikitumika katika A.I basi hio hardware limitation anayoiongelea hapo juu haitokua na mafasi. Refer google quantum computer
 
Kama kumuacha ni kutishia usalama na kuleta sintofahamu, si wamkunje kunje kumrudisha kwenye boksi lake? Wasituchoshe na hofu tuso mpango nazo...
 
if(there's no scripted answer){
WiFi>>Question>>Google search & translation}
printf("what you searched");
Hii sio alg ya sophia bali ni alg ya binadamu na wafanyakazi wa sasa. Coz hadi doctor siku hizi unamkuta ana google. Yaan hata coders wa siku hizi walivyo wazembe kutumia intelligence yao utawakuta wanagoogle na ukimpa kazi bila internet connection basi ndo umemmaliza hvo

Pia Algorithms za sofia sio kama customer care chatbots ulizozoea.
 
Kama kumuacha ni kutishia usalama na kuleta sintofahamu, si wamkunje kunje kumrudisha kwenye boksi lake? Wasituchoshe na hofu tuso mpango nazo...
Ha haa..
Dina vipi unaogopa ushindani?
Maana sasa tu wanaume waowaji wachache.
Utani tu ,don't take it too personal.
 
Ha haa..
Dina vipi unaogopa ushindani?
Maana sasa tu wanaume waowaji wachache.
Utani tu ,don't take it too personal.
Hapana...hasa ushindani upi na robot? Ila mwanaume mlivokosa haya...wallah hapo mnawaza nani amuanze pale itakapotangazwa kuwa Sophia anatafutiwa mwenza....
 
Probably you have some shorts touches concerning AI.

Softwares learn on themselves??? You mean data mining??

Elon Musk fears the version of Reality Intelligence ( an intelligence where a machine lives on its own ) not this Artificial intelligence.

Ka CPU kamoja kanaweza kua na software ya kumimic human intelligence, seriously?? 😲

AI frameworks, are a hard-coded (which are 80% C++) backend softwares that are maneuvared to read ( here is what you know they are learning??) the input data ( mostly in a statistical format) and gives output (they say prediction)

And you use python to create interfaces on top of this hidden AI C++ frameworks 😬

The reason it is 'Artificial' intelligence it means the intelligence created by humans to run on machines to assist tasks (mostly in autonomous way) and because there are bunches of tech celebrities thinking that AI will overrun us 😬

There's no ready made piece of hardware that can think on itself without inputs (sensors & software updates)

Machine learning? Feeding inputs data and it determines the pattern of data variation and it gives us output we call it prediction, a task that would need a person about 5 months to analyze data you call that an intelligence we should fear? the reason it is artificial says it all, neither natural mimic, nor any reality approaches.

Computers failed to overtake humans let it alone to AI, come on man, it's called advanced programming

There's a saying...
Whatever how advanced the software maneuveribillity is , hardware is the limit
 

Mkuu unaongelea nadharia zaidi kuliko uhalisia

Chochote anachofanya robot kiko sctipted kwa namna moja au nyingine
Hata kama atafanya algorithm ku calculate kisha kutoa majibu lakini hawezi kuwa na intelligence ya kiasili zaidi ya aliokuwa programmed

Ukichukua watu mia ukawauliza kitunwasichojua kila mtu atatumia intelligence yake kujibu
Lakini marobot sofia yooote yatakupa kupa jibu moja tu sababu ndivyo yalivyokua kua programmed

Huo uwezo walionao maroboti wamewekewa na intelligence ya kibiinadamu, u fast wao haufanyi wao kuwa bora kuliko binaadamu
Calculator ina toa majibu within a second kwa calculation ambayo kibinaadamu itakuchukua muda mrefu zaidi.. hii haimaanishi calculate ni ina complexity zaidi ya ubongo wa binaadamu

Mwisho hilo lidubwana lina muhitaji binadamu kwa asilimia 100 kujiendesha so hiyo hofu ya huyo mtaalamu ni katika kuyapa umaarufu tu hayo madoli ambayo hayajui yanachofanya zaidi ya kufuata yalicholishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…